Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Mkuu wadigo kwa majivuno ndo walivyo halafu pia majibu haya ni kwa ajili ya kuepuka kupigana na Twaha Kiduku kwa kusudio la Kuendelea kuilinda brand kama Bondia namba moja nchini na AfricaHuyu mdigo Mwakinyo simuoni mbali tena ktk career yake
Dharau za watu wenye mafanikio zipo ila sio kama zake
Yeah kwa super welterweight hakuna kama yeye (Mwakinyo) Ila Twaha yeye mapambano yake ni ya nani bora Yuko tayar kupunguza uzito na kuongeza uzito ili mradi aonekane bora tu mi sijawahi kumuelewa hapa ndio Maana Mwakinyo anaongea shombo Kwan daily ana strive to became the best kwenye uzito wake kwa kupigana na washindani sahihi kwa uzito wake ol ova around the globe tofauti na TwahaKuwa champion ibaidi hata ndani ya nchi yako inabidi awe Undisputed hilo liko wazi
Nakupa list ya mabondia duniani walikuwa bora na hata ndani ya nchi yake kila atayesimmama naye ndani ya ulingo lazima amuangusheMkuu wadigo kwa majivuno ndo walivyo halafu pia majibu haya ni kwa ajili ya kuepuka kupigana na Twaha Kiduku kwa kusudio la Kuendelea kuilinda brand kama Bondia namba moja nchini na Africa
Na alisha onywa juu ya kauli zake. Kumbukumbu alipo msenea mbovu yule bondia mkongwe akaenda CLOUDS kuyaweka sawa.Sisi kazi yetu kubwa ni kutunza kumbukumbu za kauli na matendo yao. Ikifika wakati maji yamefika shingoni wasije wakasema hatuna utu wala huruma juu yao. Na mifano ipo mingi kuanzia wakina Mr Nice mpaka wakina Matumla.
Anthony Joshua Vs Tyson Furry wote waingereza na wote Wanashikilia mikanda ya uzito wa juu duniani ndo sababu ya pambano lao Lakini hawakuahidiwa Gari chifu ila naungana na wewe juu ya majibu yake sio nzuri hayana staha lakin kama unacho why usiflex?Nakupa list ya mabondia duniani walikuwa bora na hata ndani ya nchi yake kila atayesimmama naye ndani ya ulingo lazima amuangushe
Many Pacquiao
Floyd Mayweather
Mike Tyson
George Evanda
Anthony Joshua na wengine wengi, wanakuwa machampioni pia katika taifa lao, na uchampion unaopatikana kwa mapambano ya mabondia wa nchini kwako
Kwa kiba tu ndio tumetofautiana Ila kote nakubaliana na wewe πKwa wanaolewa maana ya Brand, Mwakinyo yuko sahihi
Kiduku ni bondia poli,
Namshauli kiduku akuze Brand yake, dunia imjue kwanza ndo aombe mechi na Super Star Mwakinyo.
Mswahili akipiga hela lazma muyakoge ndio maana viroho vya kulostishana havikomi uswahilini π ...Watu wanapambana wakuzibie mafanikio yani deile πUsipigane, lakini maneno yenye dharau sio.
Tatizo la mswahili akipata....
Tumelfadhi hill meno maktaba ya kigomaAsijekupitisha bakuli