Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

Ni kawaida ya haya mambo kuendana na Hype na Majivuno ya Hapa na Pale; yanasaidia kuuza pambano na kuwapa publicity, asingesema hivyo wewe usingeleta hapa huu uzi wala mimi nisingechangia na kwa wasiomjua wangeendelea kutokumjua...

Its just a Sense of Humour....
 
Huyu Mwakinyo kuna watu akicheza nao vibaya kwenye nchi hii, hakika tunamsahau kwenye tasnia ya ngumi
ngumi hainaga longolongo sio kama mziki wa bongo fleva... huyo babu tale wa WCB hawezi kumfanya chochote mwakinyo.. atabaki kuroga na kuhujumu wasanii wa bongo fleva tu
 
ngumi hainaga longolongo sio kama mziki wa bongo fleva... huyo babu tale wa WCB hawezi kumfanya chochote mwakinyo.. atabaki kuroga na kuhujumu wasanii wa bongo fleva tu
Sawa meneja wa Mwakinyo
 
Miswahili wakati mwingine matatizo matupu. Unatumia gari kupelekea mbwa wakati una jamaa zako kibao hawana hata baiskeli na bado unajiona mjanja au kama ulikuja na hayo magari au kuondoka nayo duniani? Tujitahidi kuwa humble ili maisha yetu yasiwakwaze wengine hata kama tuna baadhi ya powers.
 
Evander Holyfield
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…