Hassan Mwakinyo: Siogopi mabondia wenye miili mikubwa hasa wapaka pico

Maneno na vitisho kwa mabondia ni kawaida, sijui kwanini mnakerwa na Mwankinyo kiasi hiki.
Isitoshe yeye ni mwanaume wa Pwani, Tena pwani yenyewe ni Tanga, mnategemea nini zaidi
 
Eti viatu vilinibana.

Mwakinyo hamna kitu
 
Kiduku watu wanakaa wanamsifia kila pambano analopigana nje huwa anagongwa.... Japo watu wanamchukia mwakinyo lakini at least ameonyesha uwezo
 
Mwakinyo ni limbukeni flani fala Sana[emoji29]
Boxing inataka hivyo.

Ni mchezo fulani wa kejeri, majigambo ,tambo nyingi ili tu kupromoti mapambano yaingize pesa ndefu.

Kuna ambao watalipa pesa ili waone Mwakinyo atakavyodundwa na kuna ambao watalipa pesa ili kuona Mwakinyo akishinda lakini wote hao kwa ujumla wamelipa.
 
Boxing lazima maneno majigambo yawepo

Ova
Naaam, na bondia ukikosa zile amsha amsha hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani ni ngumu kuingiza pesa nyingi.

Ngoja nikupe mfano wa baadhi ya mabondia licha ya kuwa na uwezo mkubwa lakini hawana amsha amsha.

1)Bivol 2)Munguia 3)Jaron Ennis (Boots) 4)Ibrahim
Class 5)Terence Crawford
 
Maneno yanaenda na vitendo, kama hana moango wa kupigana na kiduku ampotezee tu, ligi za maneno aweke na watu wa hadhi yake.
Mwakinyo anasaka mapambano kwa sasa kwa nguvu zote maana ana nyota 2 na nusu hivyo anazidiwa na maboxer wengi hapa TZ na ni ngumu kwa yeye kupata fight ya maana.

Pia kuna mapromota wengi walimpiga chini kitambo hivyo kama anajirudi kimtindo .
 
Kwenye maisha unahitaji BAHATI nzuri. Kisha unahitaji akili, ukikosa akili nzuri unahitaji MANAGEMENT nzuri saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…