Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee unaegemea sana upande wa dini moja. Mohamed Said why? why? why?View attachment 2601548
Gily,Mzee unaegemea sana upande wa dini moja. Mohamed Said why? why? why?View attachment 2601548
Hata Uislam utakuwa unafundisha kupenda watu wengine sidhani kama unabagua. Ila kwa nini ubague? Tanzania ni ya waislam pekee? wakati Uislam unaletwa ardhi yetu ilikaliwa na waislam? My mission this year will be:Gily,
Usiogope kusema naandika historia ya Waislam.
Hakika mimi nimefanya utafiti katika historia ya mchango wa Waislam katika historia ya Tanzania kwa kuwa haikuwapo.
Gily,
Usiogope kusema naandika historia ya Waislam.
Hakika mimi nimefanya utafiti katika historia ya mchango wa Waislam katika historia ya Tanzania kwa kuwa haikuwapo. Kwani hairuhusiwi?
Sijawah kataa kuwa waislam hawakuw na mchango wao katika uhuru. Naona unatumia nguvu nyingi kama kulikuwa na muislam akipigania uhuru utatumia kuandika mchango wa waislam. Je wakati hao unaita waislam wanagombania kudai uhuru waligombania kama waislam au kama watu waliokuwa oppressed kudai haki zao? very sad 😔 😟 🙁 😥Gily,
Usiogope kusema naandika historia ya Waislam.
Hakika mimi nimefanya utafiti katika historia ya mchango wa Waislam katika historia ya Tanzania kwa kuwa haikuwapo.
Gilly,Nakuombea sana Mzee wangu Mungu akupe maisha marefu ili uweze kujua unakosea wapi. Unaniangusha sana 😢
Gilly,Sijawah kataa kuwa waislam hawakuw na mchango wao katika uhuru. Naona unatumia nguvu nyingi kama kulikuwa na muislam akipigania uhuru utatumia kuandika mchango wa waislam. Je wakati hao unaita waislam wanagombania kudai uhuru waligombania kama waislam au kama watu waliokuwa oppressed kudai haki zao? very sad 😔 😟 🙁 😥
Hujakosea hata kidogo kuandika historia ya wazee wako . Unachoandika wewe ni historia ya waislam Tanzania. Ila unataka kulazimisha historia ya waislam ni historia ya Uhuru wa Tanganyika. Kitu ambacho sijakiafiki hata kidogo. .Gilly,
Nimekosea kukaa kitako nikaandika historia ya wazee wangu iliyokuwa imfutwa?
Hivi unajua kuwa mwaka wa 1977 Jopo lililokuwa linaandika historia ya TANU likiongozwa na Dr. Mayanja Kiwanuka walikataa kupokea notes za Hassan Upeka aliyekuwa mmoja wa watafiti katika hilo jopo juu ya kueleza kuwa hizo notes zinatokana na mazungumzo aliyofanya na Abdul Sykes kabla ya kifo chake kuhusu historia ya TANU?
Dr. Kiwanuka alimwambia Hassan Upeka kjuwa historia ya TANU haina uhusiano wowote na maisha ya Abdul Sykes.
Haya kanieleza Hassan Upeka ambae alikuwa TANU Intelligence kuanzia mwaka wa 1956 alipomaliza masomo yake Tabora School.
Upeka alipojua kuwa naandika kitabu cha Abdul Sykes alinisaidia kufungua milango ya Maktaba ya CCM Dodoma na nilikwenda na kufanya utafiti.
Unaenda kasi sana Je TANU ilikuwa ya waislam? mchango Sheikh Hassan wake alitoa kama mwana TANU ila sio kama muislam. Wekahazina wa Faiz Mafongo ulikuwa ni kwa sababu ni Muislam?Gilly,
Uislam ulichukua mafasi kubwa sana katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Unaujua mchango wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Chama hiki kiliundwa mwaka wa 1933 baada ya wazee wangu kuunda African Association 1929.
Hujui historia ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir katika TANU?
Hujui historia ya Iddi Faiz o katika historia ya TANU?
Hujiulizi kwa nini hawatajwi pamoja na Julius Nyerere katika kupiogania uhuru wa Tanganyika?
Au hujui kuwa safari ya kwanza UNO 1955 mkusanyanyi wa fedha za safari alikuwa Iddi Faiz Mafongo Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Mweka Hazina wa TANU?
Hujui kuwa hafla ya kuuaga Nyerere safari ya UNO ilifanyika katika jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika?
Nani alifuta historia hii?
Leo mimi kuiandika ndiyo wewe unakereka.
Unakerwa na mimi kuandika historia hii ya watu ambao mimi baadhi ni babu zangu na wengine ni bibi, mama, wajomba na shangazi?
Unakererka kwa kuwa hawa ni Waislam.
Ulitakaje?
Tubaki na ile historia iliyojaa makosa tele?
Ni kama wewe na mkeo mpate watoto, na maisha yenu yakawa ya mafanikio na watoto waka fanikiwa piaUnaenda kasi sana Je TANU ilikuwa ya waislam? mchango Sheikh Hassan wake alitoa kama mwana TANU ila sio kama muislam. Wekahazina wa Faiz Mafongo ulikuwa ni kwa sababu ni Muislam?
Kuna watu waliandika historia wakawasau waislam, wewe umekuja kurekebisha historia au kukosea historia? Je mbona historia yako imewasau juhudi za wengine ambao sio waislam?
Sijakerwa hakuna sehemu nimeandika nimekerwa. I am very sad hata wewe ambae nilitegemea utajenga unabomoa🙁
Sina shida, kinyongo, kero, dukuduku wala hasira na wewe mzee wangu Mohamed Said. Nina mashaka tu na historia yako, si jingine. .
Gill...Hujakosea hata kidogo kuandika historia ya wazee wako . Unachoandika wewe ni historia ya waislam Tanzania. Ila unataka kulazimisha historia ya waislam ni historia ya Uhuru wa Tanganyika. Kitu ambacho sijakiafiki hata kidogo. .
Pia kwa matatizo chungu nzima yaliyopo nchini nilitegemea historia hii itakuwa chachu ya maendeleo na kukuza uchumi. Leo hii mzee wangu Mohamed, historia yako hii unayoizungumzia I am Komba vipi mtanzania? inampatia vipi uhuru wa kifikra na maendeleo ya kiuchumi watanzania?
Nakubali juhudi zako na Yesu alituachia amri kuu nayo ni Upendo. Naomba ubadilike usipotoshe. I am very sad 😔 😟 🙁
View attachment 2601567
Hapana napenda historia ila hata ya kwako ina mapungufu makubwa. Hilo unalijua na naamini kama unalijua linatosha. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. .Gill...
Sijalazimisha chochote.
Waliolazimisha ni wale waliofuta historia ya kweli wakapachika yao.
Mimi nimesahihisha historia hiyo sasa historia ya uhuru wa Tanganyika tunaisoma upya.
Bahati mbaya wewe huipendi unataka tubakie na historia ile ya zamani.
Challah...Ni kama wewe na mkeo mpate watoto, na maisha yenu yakawa ya mafanikio na watoto waka fanikiwa pia
Baada ya hapo masalani mkatengana na mkeo kwa namna yoyote iwe nia njema Au kinyume chake
Baadae historia ya familia ina kuondoa na watoto wana pewa majina ya wajomba na wajomba ndio wana onekana nyuma ya mafanikio ya wanao na familia yako na wewe haunekani popote katika familia yako kama uli fanya jema au chochote kizuri kwa ajili ya familia yako mpaka kufika hapo
Sasa ikaja tokea mdogo wako au mtoto wa mdogo wako au kaka yako ndio ana kuja kufanya tafiti na kugundua baba yake mdogo au mkubwa amechafuliwa kwa makusudi sio kama inavyo elezwa
Na watu kutoka nje na ndani ya familia au ukoo nao una fanya tafiti na kugundua ni kweli, tafiti hizo wakatafuta watu walio shirikiana na wewe ktk shughuli mbalimbali za kimaisha na kuthibisha wewe ni mtu mwema na ume fanya jitihada kubwa kwa ajili ya familia yako kufika pale
Je, hawa watu wana kuwa wabaguzi? Wame fanya kosa? Au tuwa iteje?
Gill...Hapana napenda historia ila hata ya kwako ina mapungufu makubwa. Hilo unalijua na naamini kama unalijua linatosha. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. .
Gill...Unaenda kasi sana Je TANU ilikuwa ya waislam? mchango Sheikh Hassan wake alitoa kama mwana TANU ila sio kama muislam. Wekahazina wa Faiz Mafongo ulikuwa ni kwa sababu ni Muislam?
Kuna watu waliandika historia wakawasau waislam, wewe umekuja kurekebisha historia au kukosea historia? Je mbona historia yako imewasau juhudi za wengine ambao sio waislam?
Sijakerwa hakuna sehemu nimeandika nimekerwa. I am very sad hata wewe ambae nilitegemea utajenga unabomoa🙁
Sina shida, kinyongo, kero, dukuduku wala hasira na wewe mzee wangu Mohamed Said. Nina mashaka tu na historia yako, si jingine. .
Yaani ye kutajwa kwa Nyerere tu tayari akili yake inakimbilia kwenye ukristo, watu walipigania uhuru kama watanganyika na sio waislamu wala wakristo na ndio maana waliweza kishirikiana pasi na kujali tofauti ya dini zaoUnaenda kasi sana Je TANU ilikuwa ya waislam? mchango Sheikh Hassan wake alitoa kama mwana TANU ila sio kama muislam. Wekahazina wa Faiz Mafongo ulikuwa ni kwa sababu ni Muislam?
Kuna watu waliandika historia wakawasau waislam, wewe umekuja kurekebisha historia au kukosea historia? Je mbona historia yako imewasau juhudi za wengine ambao sio waislam?
Sijakerwa hakuna sehemu nimeandika nimekerwa. I am very sad hata wewe ambae nilitegemea utajenga unabomoa🙁
Sina shida, kinyongo, kero, dukuduku wala hasira na wewe mzee wangu Mohamed Said. Nina mashaka tu na historia yako, si jingine. .