TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

Aliua kwaajiri ya dola ndo maana mitume wa waisraeli amboa mnawaita ni wateule wa mungu waliua nda mpaka leo wanaua kwa ajili ya dola na maagizo ya mungu mnayemwabudu
 
Pole Sana kwa familia
 
Kiranga huwezi kosa mchango wako hapa.

Kwa kusoma hapa najiuliza kwanini mzee Kitine alisoma uchumi, ila akapelekwa jeshini kufundisha siasa na akapanda vyeo haraka. Kwanini asingeenda chuo kufundisha uchumi, suala alilosomea. Au baadae uko Canada alisomea siasa.
 
Rest well Dr Hassy
Tutayakumbuka mengi uliyotufunza
Namshukuru Mungu kwa ajili ya uhai wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…