TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

RIP mazee Kitine.

Then, dream team- Mzena, Colonel Hassy Kitine, Mahiga, Mwang'onda and Lt Gen Imran Kombe.
 
Sababu ya kifo
 
Kipindi hicho TWISS ilikua TWISS kweli.
Wakati huo watu waliangaliwa tangia shuleni hadi JKT.

Ukiwa JKT ukiambiwa waitwa ofisini kwa kamanda fulani kwa maongezi basi fahamu mazee wameona una kitu yaani potential.

Weye fikiria waambiwa, "bwana mdogo wewe ni mtundu sana kuna mambo haya na yale uliyafanya pale shule fulani na fulani wakumbuka?" au afande atasema "weye wamhusudu sana binti fulani na huwa wamsindikiza hadi kwao mkitoka shule" akutajia na jina kabisa na ni kweli.

Kisha waambiwa, " kuanzia leo weye utakuwa na afande fulani kwenye timu yenye jina fulani", kisha kazi imeisha na wajikuta uko Monduli na baadae desk junior officer Stesheni pale Dar-es-Salaam na mengine kufuata.

Hiyo nazungumzia "Recruitment" ya TISS ya kabla ya 1995 ilivyokuwa kali.

Cha kusikitisha siku hizi hamna hiyo kitu ni kutembeza vimemo kwa mbele na matokeo yake twayaona leo.
 
Kibasa alikuwa headmaster pale mwembetogwa, mwalimu wa chemistry Highland alikuwa jamaa mmoja mabaga fresh
Wewe ni mtoto mdogo sana

Jumuiya ya wazazi CCM ilimchukua Kibasa kutoka The highlands Muulize Salim Asas anakumbuka kwa sababu kafundishwa na Kibasa

Yule Mataga fresh alikuwa anaitwa mwalimu Kaniugu bingwa wa Hesabu akiishi Mkwawa

Muwage mnafuatilia mambo 😂😂😂
 
Duh mzena tuliishi naye jirani akiwa ada Estate
Nmemkubuka huyu machine

Ova
Mtoto wa mzee nani pale. Mimi bado nipo Ada jirani na Mzena ni mteja wa kitimoto pale kwao ( mama's pub.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…