Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Nawasilisha
Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia.
Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa hawana dogo.
Pili, usikubali watu wengine waje kukuraghai kuwa nao watagharamia mm ndo mtu wa kwanza kuonesha kujali.