Police na ccm awaelewi kete za upinzani wapinzani wanakusanya ushahidi kila matendo na matukio yote wanayotendewa ili kutengeneza ushahidi mzuri ambao polisi na ccm hawawezi chomoka uzuri technology utunza kila kitu ili siku ya mwisho usiseme umeonewa, maana utaonyeshwa live "we si ndo umesema piga bomu" au huyu nani" hakuna ushahidi mbaya sana Kama wa recording, Kama ule wa wasaliti huwa wanafanya nini" hapa unachomakaje sasa.
Sisi yetu ni kuipongeza tu polisi walizidi kutengeneza ushahidi kwa matendo yao ya kuwanyanyasa wapinzani.