Uchaguzi 2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

Hivi wananchi waichague chadema kwa lipi hasa? kile chama kinasubiri kuzikwa tu October 2020
Kuna makosa makubwa sana wanayofanya CCM na hili unalozungumza hapa ni mojawapo.
Chadema au ACT ni maandishi yanayowakilisha makundi yenye mtazamo au itikadi tofauti

Ukifuta Chadema au ACT hujafanikiwa kufuta kile kinachowasukuma watu kuunga mkono hivyo vyama

CCM ipo madarakani miaka 50 na ushee, miaka 5 watu wameelezwa ''mafanikio na maajbu'' ya sera za CCM

Pamoja na yote hayo, CCM bado inategemea vyombo na taasisi za umma kupata ushindi na hata wakati mwingine kutumia wizi kama ule wa Kinondoni ambako sanduku lilichukuliwa na kurudishwa kituoni na kupokelewa na NEC wakisihirikiana na Polisi.

Hii maana yake ni moja, kwamba, kuna kitu ambacho sehemu ya jamii haikubaliani naCCM, kuzika vyama hakuondoi ile imani ya something is wrong. Usiangalie majina ya vyama , jiulize vinaungwaje mkono?
Kwanini CCM yenye ushahidi wa kutawala na maendeleo bado inakabiliwa na wakati mgumu?

CCM kwa kushirikiana na '' Msioajili wa vyama' waliifuta CUF, je, wamewafuta wanachama?
Hao wa ACT ni akina nani?

jmushi1
 
jmushi ;
Saharavoice kaangalia uhalisia siwezi kumlaumu ila mtungi upasukia mlangoni!
Mama akijiamini mtungi umefika anajikwaa kidogo tuu biashara imekwisha.
Kujiamini kwingi ni weakness!!
Haya, ebu muulize basi baada ya kuangalia huo uhalisia, msimamo wake ni upi?
 
Mods can you help me with terms and conditions to comment here? I want to insulate 🤒
 
Kuna taarifa kuwa Membe anaenda ACT-Wazalendo. Mimi sioni ubaya hata kidogo! Hata wakimsimamisha na Lissu akasimama CHADEMA, ccm lazima wapate maruweruwe!

Sidhani kama kuja kwa Membe upinzani, kunatakiwa kuwagawe wapinzani. Cha muhimu, wasishamnuliane wao kwa wao.
 
Jamani huyu mwanzishaji uzi anaumwa tena kichaa kimekuwa sugu, amekuwa akiandika mara Kiingereza mara nne na mada ndefu sana lakini ndani upupu tu. Mnaomjibu mnapoteza time na mnafail sana
Naona wanaelekea huko huko niliposhauri! Sasa pa muhimu ni kwenye ushirikiano. Wazimu kabisa wewe.
 
Kama alishimdwa Lowasa na mafuriko yale usitarajie kuiondoa CcM madarakani ,kijana nakushauri usipoteze kura yako bure maana nawajua CCM kwa kazi aliyoipiga Magufuli ndani ya miaka minne hata tusipowaibia kura tutashinda tu mchana kweupeee.

Membe ameenda kugawanya kura ,huyo Lisuu ndio hajielewi kabisa maana hata kujenga hoja hawezi badala ya kuwaeleza waTanzania nn hatalifanyia Taifa anajikuta anampigia kampeni Magufuli kwa kukadiri lazi zilizofanywa na Magu yaani Chadema Bora wange msimamisha Nyandu Tozi yule kidogo lakini sio huyu Tundu.
 
Sahihi Mkuu
CCM na ACT wanaenda kugawana Kura.
HE Tundu Antipas Lissu, 6the President of the URT
 
Samahan bro, tume ili iwe huru unadhan iwe na muundo gan labda na watendaj pamoja na fund vipatikane vp? samahan sana bro.
Swala la time kuwa huru ni mtizamo tu nakumbuka rail Odinga kwemye hii tume ya Kenya ndo aliisuka lakini juzi tena kaanza kituko eti tume si huru tena

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 

Kuna wachangiaji wameshindwa kuelewa kuwa 2015 CCM ilikuwa (ICU) wa Tanzania wakamchagua Magufuli, sasa CCM ishatoaka ICU, Rais Magufuli kishaiweka kwenda mazingira mazuri. Kwa hiyo ACT-Wazalendo, CHADEMA kuchukua madaraka ya nchi ni ndoto!!Msishangae kuona DR Magufuli kushinda kwa 89% or 95%!!! Act-wazalendo walifanya technical mistake 2015 which will definitely haunt them in 2020!!!
 
Mkuu wananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa, maana nimeongea kitu ambacho hakiwaumizi leo.
Ndo zao! Uzuri wamekubali kushirikiana. Kwahiyo ni “a win win situation”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…