Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 302
- 295
Tayari ameshamwandaa Mwenyekiti wa Halmasharu ya Iramba Repeater Mwenzake wa Shule (wote walirudia shule zaidi ya mara tatu) Ndugu Innocent Msengi ambaye pia aliwahi kuitwa Masanganya Zengo au jina lingine Mande Kapendo kuwania nafasi ya ubunge mwaka 2030. Wote ambao wameonesha dalili au kusemwa wanagaombea mwaka huu wameshatulizwa na hivyo hamna tena kupingwa kwa nafasi ya ubunge na hata udiwani pia.
Haya yote yanafanyika ikiwa Mwigulu anajipambanua zaidi kuukwa URaisi mwaka 2030. Haya yote yanafanyika wakati jimbo lake mwenyewe ameshindwa kulitendea haki kwani limejawa na umaskini wa kutupa. Katika Iramba Mwigulu ameendeleza kijiji chake tu na hata akiondoka madarakani hicho kijiji kitakuwa kama ilivyo Chato kwa sasa kwa sababu kipo ndani ndani maporini kule, ambapo ng'ombe waliokuwa wakiibwa wilayani Iramba walikuwa wakifichwa huko.
Kizuri Dr. Mwigulu amefanikiwa sana kuwasitiri wale walimu ambao walimpa nafasi ya kurudia shule mara nyingi, akifanya hivyo kwao ili wawe na uwezo wa kuendelea kutunza siri na akiwaaminisha kuwa mwaka 2030 ni lazima atakuwa Raisi.