GE2025 Hata Gwajima na Polepole waongee kiasi gani historia zao zitaendelea kuwasaka tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale.

Ndio wana point ila ni za kinafiki.
 
GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Sisi watanzania Wakristu kwa waislamu na hata wale wasio na dini hatuwezi kugawanywa kwa misingi ya chuki za kidini inayo chochewa na watu hao ambao nia yao ni kuvuruga amani, utulivu na maelewano miongoni mwetu, ambayo yamedumu kwa karne nyingi.
 
Kipindi unawaangalia watu kwa majina, historia zao na kuongea kwao kuna wengine wengi tunaoangalia hoja zao.
Tofauti yako na wengi ni mtazamo wako ila siyo watu.
 
Back
Top Bottom