ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,560
- 8,002
Kwa nini vyumba vitatu chini? Kama tunaongelea gharama kama kichwa cha habari cha uzi wako kinavyomaanisha, habari ya nyumba za vyumba vinne ilishapitwa na wakati. Toa hicho chumba kimoja chini weka Living room kuuubwa na jiko kuubwa."HATA HII GOROFA SIMPLE UNAONA NI KAZI? 😅 CHUKUA HII!"
Chini: 3 Bedrooms za kisasa 🛏️
Juu: Master Bedroom full privacy + Balcony 🌅
Inatosha kwenye kiwanja cha 20x20m tu!
📍 Office Location: Sinza, Dar es Salaam
📞 Call/WhatsApp: +255 624 004 650
🏗️ Mkuzibuilders – Tunajenga kwa Ubora!