Kwa nini vyumba vitatu chini? Kama tunaongelea gharama kama kichwa cha habari cha uzi wako kinavyomaanisha, habari ya nyumba za vyumba vinne ilishapitwa na wakati. Toa hicho chumba kimoja chini weka Living room kuuubwa na jiko kuubwa."HATA HII GOROFA SIMPLE UNAONA NI KAZI? π CHUKUA HII!"
Chini: 3 Bedrooms za kisasa ποΈ
Juu: Master Bedroom full privacy + Balcony π
Inatosha kwenye kiwanja cha 20x20m tu!
π Office Location: Sinza, Dar es Salaam
π Call/WhatsApp: +255 624 004 650
ποΈ Mkuzibuilders β Tunajenga kwa Ubora!
that is your sugestion not my clients need so if your interested yako tutafanya hvo bossKwa nini vyumba vitatu chini? Kama tunaongelea gharama kama kichwa cha habari cha uzi wako kinavyomaanisha, habari ya nyumba za vyumba vinne ilishapitwa na wakati. Toa hicho chumba kimoja chini weka Living room kuuubwa na jiko kuubwa.
Baraza inalingana na nyumba
Usimple ktk ni nini"HATA HII GOROFA SIMPLE UNAONA NI KAZI? π CHUKUA HII!"
Chini: 3 Bedrooms za kisasa ποΈ
Juu: Master Bedroom full privacy + Balcony π
Inatosha kwenye kiwanja cha 20x20m tu!
π Office Location: Sinza, Dar es Salaam
π Call/WhatsApp: +255 624 004 650
ποΈ Mkuzibuilders β Tunajenga kwa Ubora!
NI KWELI KABSA LAKN PIA TUNAMSHAURI MTEJA NA TUNAMSIKILIZAMambo ya kuweka Master bedroom ghorofani yanasumbuaga watu wakifika umri mkubwa. Nimeona mifano.
Hivyo ni vizuri kuwa na chumba kingine comfortable na self contained ground floor, just in case mnalazimika kuhamia chini.
Binafsi napenda Master bedroom iwe chini, hata ningejenga ghorofa.