johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini
Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika na Melini Wayunani wasipokuzamisha baharini wanakufanya uwe Kuli Wao.
Akasema, Melini kuna Nahodha na Mabaharia wa Vyeo tofauti tofauti na hao ndio wanatambulika na mwenye Meli na bima wamekatiwa.
Sasa kauli hii ya Balozi Karume kwamba hawezi kufukuzwa na Wadandia Meli nimeielewa sana
Hata Chadema kwa mfano Mbowe ni Nahodha na Makamanda (Makada) ndio Mabaharia ila wale Makarai( CHAWA) hao ni Wadandia Meli tu hawanaga madhara yoyote
Kwako CHAWA mkuu Steve 😄😄
Pia soma
- Balozi Ali Karume: Siwezi kuvuliwa uanachama CCM na mdandia reli