Hata huku CHADEMA kuna nahodha, mabaharia na makuli. Balozi Karume umeeleweka na wenye akili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini

Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika na Melini Wayunani wasipokuzamisha baharini wanakufanya uwe Kuli Wao.

Akasema, Melini kuna Nahodha na Mabaharia wa Vyeo tofauti tofauti na hao ndio wanatambulika na mwenye Meli na bima wamekatiwa.

Sasa kauli hii ya Balozi Karume kwamba hawezi kufukuzwa na Wadandia Meli nimeielewa sana

Hata Chadema kwa mfano Mbowe ni Nahodha na Makamanda (Makada) ndio Mabaharia ila wale Makarai( CHAWA) hao ni Wadandia Meli tu hawanaga madhara yoyote

Kwako CHAWA mkuu Steve 😄😄

Pia soma
- Balozi Ali Karume: Siwezi kuvuliwa uanachama CCM na mdandia reli
 
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini

Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika na Melini Wayunani wasipokuzamisha baharini wanakufanya uwe Kuli Wao

Akasema, Melini kuna Nahodha na Mabaharia wa Vyeo tofauti tofauti na hao ndio wanatambulika na mwenye Meli na bima wamekatiwa

Sasa kauli hii ya Balozi Karume kwamba hawezi kufukuzwa na Wadandia Meli nimeielewa sana

Hata Chadema kwa mfano Mbowe ni Nahodha na Makamanda ( Makada) ndio Mabaharia ila wale Makarai( CHAWA) hao ni Wadandia Meli tu hawanaga madhara yoyote

Duh...!.
P
 
Na wee Benjamin Netanyahu vipi ?? Yahaya Sinwar kiboko yako mpaka umemuomba baba yako Biden akusaidie kumshtaki ili awaachie mateka lakini jamaa katia ngumu ! N amewaambia kabisa sasa hivi mkiwasogelea tu eneo walipo na mateka ni shaba kwa mateka ! Kama mbwai na iwe mbwai !
 
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini

Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika na Melini Wayunani wasipokuzamisha baharini wanakufanya uwe Kuli Wao

Akasema, Melini kuna Nahodha na Mabaharia wa Vyeo tofauti tofauti na hao ndio wanatambulika na mwenye Meli na bima wamekatiwa

Sasa kauli hii ya Balozi Karume kwamba hawezi kufukuzwa na Wadandia Meli nimeielewa sana

Hata Chadema kwa mfano Mbowe ni Nahodha na Makamanda ( Makada) ndio Mabaharia ila wale Makarai( CHAWA) hao ni Wadandia Meli tu hawanaga madhara yoyote

Kwako CHAWA mkuu Steve 😄😄

Pia soma
- Balozi Ali Karume: Siwezi kuvuliwa uanachama CCM na mdandia reli
Acha majungu mzee mgaya
 
Back
Top Bottom