Hii thread imebidi nicheke, maana kuna wapendwa wangu wanne wametajwa kwenye hiyo list!
Evelyn Salt (aka mama mchungaji) itabidi nifanye nao kikao cha dharura aisee.
Mpenda arage ana hamu na arage
HahahahaHii thread imebidi nicheke, maana kuna wapendwa wangu wanne wametajwa kwenye hiyo list!
cute b, Numbisa, Evelyn Salt (aka mama mchungaji) na shemeji yangu CHIKIRA MTABARI itabidi nifanye nao kikao cha dharura aisee.
Hii thread imebidi nicheke, maana kuna wapendwa wangu wanne wametajwa kwenye hiyo list!
cute b, Numbisa, Evelyn Salt (aka mama mchungaji) na shemeji yangu CHIKIRA MTABARI itabidi nifanye nao kikao cha dharura aisee.
Ukiona hivyo ujue jamaa ana mapepo makali,majina yetu yamejaa wokovu toka kwa babu Asprin
Dah, umenikumbusha kisa kimoja cha Babu Asprin kumtoa mgonjwa mapepo, eti akawa anasema mapepo yamejazana hapa kifuani, baadae akasema yamekimbilia ndani ya sketi, tulipata kazi sana kuyatafuta yale mapepo, sema babu tu ndo alikuwa anayashika.
hahahahaahhaaahahHii thread imebidi nicheke, maana kuna wapendwa wangu wanne wametajwa kwenye hiyo list!
cute b, Numbisa, Evelyn Salt (aka mama mchungaji) na shemeji yangu CHIKIRA MTABARI itabidi nifanye nao kikao cha dharura aisee.
hahahahaahhaaahah
Sina comment kwa kuwa ameshamua kuhukumu (kwa sauti ya Chenge na Kafumu walivyowajibu waandishi wa habari walipo wahoji kuhusu kusomwa kwenye ripoti ya madini, hahahahahahahaaah)Shemeji nasubiri utetezi wako aisee.
Sina comment kwa kuwa ameshamua kuhukumu (kwa sauti ya Chenge na Kafumu walivyowajibu waandishi wa habari walipo wahoji kuhusu kusomwa kwenye ripoti ya madini, hahahahahahahaaah)
hahahha, imesikia na Karamagi alivyojibu!!! hahahahaSawa, ila kutojibu kuna maana kuu moja, silence means yes!
Ila shemeji huyu jamaa katukosea sana, yaani eti wewe ni jini!
hahahha, imesikia na Karamagi alivyojibu!!! hahahaha