mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
- Thread starter
- #121
Mi ni ziraili mkuu! Kaa mbali.Tena wewe ndio utakua jini kali zaidi ya hayo majini menzako uliyoyataja maana siku niliyo quote uzi wako first time niliota ndoto mbaya kuna mijitu ina sura ngumu naibonda na mawe lakini yale mawe ilikuwa kama hayawathiri kitu ilikuwa kama napiga ukuta na mawe