kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s