Mkuu umetumwa na Mafwele?Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
Sasa huyu anahusinaje na chadema, walishatoa taarifa zake?Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
R.I.P Ally KibaoChadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
chadema wanatoa idadi ya wanaokosekana (missing) nyumbani kwao. Bahati mbaya kwao kila anaekosekana nyumbani kwao ni serikali inahusika. nadhani hii inatokana na kazi nzuri ya serikali kwa wananchi kiasi kwamba chadema na wapinzani wanakosa sera mbadala za kuwashawishi wananchi wawaunge mkono. Kuichafua CCM ni kazi ngumu kwasababu Afrika hakuna chama kizuri kinachowahudumia wananchi wake kuliko CCM.CHADEMA wanatoa orodha kulingana na taarifa za familia zinazolia kupotelewa na wapendwa wao. Familia zenyewe zinasema ndugu zao wamechukuliwa.
We pungo miaka 42 iliyopita kulikuwa na Chadema?Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
Yupo wapi Humphrey polepole??chadema wanatoa idadi ya wanaokosekana (missing) nyumbani kwao. Bahati mbaya kwao kila anaekosekana nyumbani kwao ni serikali inahusika. nadhani hii inatokana na kazi nzuri ya serikali kwa wananchi kiasi kwamba chadema na wapinzani wanakosa sera mbadala za kuwashawishi wananchi wawaunge mkono. Kuichafua CCM ni kazi ngumu kwasababu Afrika hakuna chama kizuri kinachowahudumia wananchi wake kuliko CCM.
tusaidiane kutafuta mtu akipotea kabla ya kutoa conclusion.Miaka 42 iliyopita hapakuwa na utekaji wala ufiraji. Vikosi vya watekaji na wafiraji havikuwepo kabisa.
Hapa usiwasingizie CHADEMA wala CUF waliokuwa chama kikuu cha upinzani.
Kama natumika ili bibi na mjomba wangu waendelee kulala vitandani mwao huku wakijitafutia riziki zao bila hofu ni poa tu. Vurugu za Siku ya Oct29 tu tayari watu wote waliambiwa wasitoke nje, mitandao imefungwa na bidhaa za mashambani zilikuwa hazifiki mijini na hata magenge yalikosa bidhaa. Eti ndio ushujaa huo chadema wanataka, mafi yenu.Unatumika zaidi ya condom hata kichaa chizi malifa hawezi kukuhali usengerema huu kajipange
Kwa hiyo Ben saanane na poke pole watarudi TU tusubiri eti!!?hata miaka 60 ijayo si ndio!!?Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s