MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,995
- 8,799
Kwenye ujinga wako huu hujakumbuka aliamulisha watanganyika wauliwe kikatili alimuladi tu yeye aendelee kukalia kigoda matako yenu fifiem wote.Kama natumika ili bibi na mjomba wangu waendelee kulala vitandani mwao huku wakijitafutia riziki zao bila hofu ni poa tu. Vurugu za Siku ya Oct29 tu tayari watu wote waliambiwa wasitoke nje, mitandao imefungwa na bidhaa za mashambani zilikuwa hazifiki mijini na hata magenge yalikosa bidhaa. Eti ndio ushujaa huo chadema wanataka, mafi yenu.
Katibu wa CCM?Huyu hapa aulizwe katibu
Kajichanganye🤣🤣We pungo miaka 42 iliyopita kulikuwa na Chadema?
Kwa hiyo siku hizi familia ikipotelewa na mtu wanaenda kuripoti CHADEMA then CDM ndo inatutangazia kuwa katekwa na serikaliCHADEMA wanatoa orodha kulingana na taarifa za familia zinazolia kupotelewa na wapendwa wao. Familia zenyewe zinasema ndugu zao wamechukuliwa.
So mnataka kutuambia utekaji na kupoteza watu mlianza kitambo eeh?Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
Kama wewe hukutekwa basi waliotekwa wana mambo yao. Kama ukiendelea na tabia yako hiyohiyo hivihivi hutekwi ng'o na yeyote. Usitembee na mademu ya watu, usidhulumu watu, usitoe siri za watu unazozifahamu na usiwe kibaraka na kuwadi wa mabeberu.So mnataka kutuambia utekaji na kupoteza watu mlianza kitambo eeh?
So tutarajie mtaendelea kuwaachia wakiwa hai wengine waliopoteza?
Kuna kijana alitekwa na kufungiwa pahala na wanafamilia wenzake hadi wamalize kuuza nyumba na shamba la urithi wao kisa yeye alikuwa hataki viuzwe kwa bei ile. Alitaka wasubiri hadi bei ya ardhi ipande huko mbeleni.Kwa hiyo siku hizi familia ikipotelewa na mtu wanaenda kuripoti CHADEMA then CDM ndo inatutangazia kuwa katekwa na serikali
Chadema haina hata miaka 35 tangu ianzishwe huyo aliyepotea miaka 42 alikuwa chama gani. Upuusi.Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s
Wewe nipumbavu!!Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi hata baada ya miaka 42 kupita hadi aliporejea mwenyewe kwa hiari yake.
Uchuguzi wa kina unahitajika mtu anapokuwa haonekani badala ya watu kutoa majibu mepesi ya katekwa, kauliwa na serikali.
View: https://youtu.be/5QJkIe2ikR8?si=wuoNVoGDMZsrlC_s