hata kama hutaki kucheka humu JF utacheka tu

hata kama hutaki kucheka humu JF utacheka tu

mnyikungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
1,963
Reaction score
2,479
mimi jf uwa napenda kusoma coment tu! ukijua huna shida ya kuja jf jokes maana kila sehemu ni jokes sasa hii nimeipata jukwaa la burudani

faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia

Mkuu mademu unapata vipi JF ili nami niwe mdau?

namtafuta nilie mpenda kisha namtumia pm. uzuri hua hawana makuu lakini ukimzingua anakuja kukutangaza jf. mia

Sasa mkuu mia unajuaje huyo member ni "ME" au ni "KE"? Nisije nikaleta tafrani humu ndani...

unaangalia comment zake na mwandiko!..kwani mkuu hujui kutofautisha mwandiko wa kike na kiume? au wewe ulikua haundikiani barua na wasichana enzi zako?. miandiko ina tofauti kama hujui bora uende faceboo tu!. mia

Basi ngoja nijaribu mkuu...nikimpata na kufanikisha nitakueleza, na hivi msimu wa sikukuu umewadia...
 
Duh, hawa waheshimiwa wamepinda kinoma...Utajuaje mwandiko kwa hii typography tunayotunamia JF...Au wadau wengine mwatambua watu kwamba ni ME au KE kwa miandiko yao humu JF?????
 
figganigga umenifurahisha sana na majibu yako ya uhakika.
 
Last edited by a moderator:
Duh, hawa waheshimiwa
wamepinda kinoma...Utajuaje mwandiko kwa hii typography tunayotunamia
JF...Au wadau wengine mwatambua watu kwamba ni ME au KE kwa miandiko
yao humu JF?????

maudhui ya hoja yanatambulisha!
 
Kwakweli mmeniacha hoii! Eti muandiko! Hahahaaa! Bora kigezo cha komenti. Lakini angalia usijemPM mtu wa jinsia yako! Tehetehee..
 
mimi nilikua namuelewesha bwana mdogo Revolution. dogo anapenda kuchokonoa sana!. mia

Yaani wewe bwana figganigga kama wewe mia ujue mimi mia mbili...hivyo ushike adabu, wewe hujui kwamba siku hizi mautundu yanaigwa kutoka kwa vijana na wazee?
 
Back
Top Bottom