faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia
Mkuu mademu unapata vipi JF ili nami niwe mdau?
namtafuta nilie mpenda kisha namtumia pm. uzuri hua hawana makuu lakini ukimzingua anakuja kukutangaza jf. mia
Sasa mkuu mia unajuaje huyo member ni "ME" au ni "KE"? Nisije nikaleta tafrani humu ndani...
unaangalia comment zake na mwandiko!..kwani mkuu hujui kutofautisha mwandiko wa kike na kiume? au wewe ulikua haundikiani barua na wasichana enzi zako?. miandiko ina tofauti kama hujui bora uende faceboo tu!. mia
Basi ngoja nijaribu mkuu...nikimpata na kufanikisha nitakueleza, na hivi msimu wa sikukuu umewadia...
Duh, hawa waheshimiwa
wamepinda kinoma...Utajuaje mwandiko kwa hii typography tunayotunamia
JF...Au wadau wengine mwatambua watu kwamba ni ME au KE kwa miandiko
yao humu JF?????
figganigga umenifurahisha sana na majibu yako ya uhakika.
figganigga umenifurahisha sana na majibu yako ya uhakika.
Boss achana na figganigga kapinda, yeye anatumia elimu yake ya intelejensia kuweza kufahamu nini kinaendelea!!!
Umekuja kufanya nini huku Mzee wa Rula?
Heshima mkuu!!!maudhui ya hoja yanatambulisha!
mimi nilikua namuelewesha bwana mdogo Revolution. dogo anapenda kuchokonoa sana!. miafigganigga umenifurahisha sana na majibu yako ya uhakika.
unamchezea Mzee wa Rula weye!?. mimi nikisikia mtu kafumaniwa nahofia sana isije kuwa ni Mzee wa Rula. hahahaaaa....!!!. miaUmekuja kufanya nini huku Mzee wa Rula?
Umekuja kufanya nini huku Mzee wa Rula?
tajhiri mbona unakuja na kupotea?. kheri ya mwaka mpya!. miaeti kaja kupima mambo kama yamenyooka
tajhiri mbona unakuja na kupotea?. kheri ya mwaka mpya!. mia
mimi nilikua namuelewesha bwana mdogo Revolution. dogo anapenda kuchokonoa sana!. mia
hahahaaaaa....!!!. miaYaani wewe bwana figganigga kama wewe mia ujue mimi mia mbili...hivyo ushike adabu, wewe hujui kwamba siku hizi mautundu yanaigwa kutoka kwa vijana na wazee?