Hata kama inabidi wawe na mnyonge wao, basi hakikisha hauwi wewe

Tormenter

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
427
Reaction score
808
Siku zote chora mstari wako wa uvumilivu unaokutosha..

Hakikisha hauvukwi, hata na yule anaejua unamuheshimu sana..

Huo ndio utakao amua, uwe Boss wa maisha yako, au mtumwa wa furaha za wengine..

Wakijua wanaweza kukufikia, wataanza kwa kukuonesha ulipo udhaifu wako..

Wakielewa watapokuumizia, watapachezea ili wajisifu wanakuweza sana..

Iwe kwa utani au serious, kunja sura kila inapovunjwa heshima yako..

Iwe kwa nguvu au mikwara, wawe na mnyonge wao, lakini usiwe wewe..

Nyoka asingekuwa mkali, watu wangemgeuza kamba waanikie nguo..

Chora na linda mstari wako

Me nakuacha..

Mmonaga kundungu, kumeyo mwanja
 
Hakikisha pia hueleweki na huzoeleki ili wasikuchukulie poa
 
1747389686963.jpg
 
Unataka tufanye sayansi ya busara kwa mwaka wa kuzaliwa? Hapo ndo mnaishia kuzeeka bila legacy
Siku hizi busara haiji kwa miaka, inakuja kwa exposure na akili timamu. Ukikaa mtaani miaka 50 bila kujifunza, bado huwezi kunielekeza kitu.

Hata Yesu alifundisha watu akiwa na miaka 12, ila wewe unataka CV ya mtu ianze na 19 ili umwelewe. Hiyo si hekima, ni kiburi na uzee usio na faida
 
Back
Top Bottom