GE2025 Hata kama maandamano ya 29/10 hayatafanikiwa, message itakuwa "sent"

GE2025 Hata kama maandamano ya 29/10 hayatafanikiwa, message itakuwa "sent"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mzee Joseph Sinde Warioba na Marehemu Raila Amolo Odinga ni watu ambao walikutana na timu ya Lissu na Heche kuhusu NRNE. Wote Warioba na Odinga walimuambia Tundu kuwa kuahirisha au kuzuia uchaguzi HAIWEZEKANI. Ila kwa sababu viongozi wa CDM wote wawili ni kama chupa na mfumiko wakabisha. Wote wako incarcerated sasa

..kuahirisha uchaguzi inawezekana. Ni suala la kufuata utaratibu.

..hata leo hii Samia akifa, simuombei afe, uchaguzi utaahirishwa kwa kufuata taratibu.

..Lakini pendekezo la kuahirisha uchaguzi limekuja baada ya Mama kupiga danadana kwa miaka 4 bila kufanya mabadiliko ya kweli, halafu kudai muda hautoshi kwasababu uchaguzi umekaribia.
 
..TL alimkamata, kumteka, au kumuua nani, kiasi kwa astahili lawama za kuvunja 4R?

..Na hata ukisema kwamba Chadema walisusia vikao vya Tume ya Mkandara, bado kuna vyama 17 ambavyo vilishiriki ktk Tume hiyo. Na vyama hivyo leo hii vinalalamika kuhusu kutokutekelezwa kwa 4R.

..Mfano halisi kabisa kwamba Mama hayuko genuine katika kufanya Reforms ni kwenye suala la Tume ya Uchaguzi.

..Bunge limepitisha sheria kwamba Tume isimamie chaguzi zote ikiwemo serikali za mitaa. Bunge pia limepitisha sheria kwamba Mwenyekiti na Makamishna wateuliwe kupitia mchakato.

..Pamoja na sheria hiyo kupitishwa na Bunge kulifanyika ujanjaujanja na Mama mwenyewe akiwa Waziri wa Tamisemi, akishirikiana na mkwe wake, wakasimamia na kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa.

..Zaidi ya hayo Mama amegoma kuanzisha mchakato wa kuteua Mwenyekiti, na Makashna wapya, kulingana na sheria inavyoelekeza.

..Kwa upande wa Zanzibar suala la kura ya siku mbili limekuwa likipingwa na Act lakini Mama, Husseni, na serikali zao, wamegoma kufanya mabadiliko.

..Watanzania wakweli na tuachane na mambo yanayobomoa taifa letu. Huu unyama na ukatili wa vyombo vya dola ni matokeo ya Mama na chama chake kukataa kufanya mabadiliko yatakayotoa HAKI sawa kwa vyama vyote.
Yawezekana arguments zako zikawa na ukweli. Lakini kwenye 4R za Samia kuna mengi yalifanyika japo watu hawataki kuyakumbuka. Wapinzani walipaswa kuanza na kidogo kilichopo mkononi kabla ya kupata makubwa. Maridhiano ni win win situation, na siyo winner takes all
 
..kuahirisha uchaguzi inawezekana. Ni suala la kufuata utaratibu.

..hata leo hii Samia akifa, simuombei afe, uchaguzi utaahirishwa kwa kufuata taratibu.

..Lakini pendekezo la kuahirisha uchaguzi limekuja baada ya Mama kupiga danadana kwa miaka 4 bila kufanya mabadiliko ya kweli, halafu kudai muda hautoshi kwasababu uchaguzi umekaribia.
Kuahirisha uchaguzi kwa pressure ya Tundu pekee siyo busara.
 
Yawezekana arguments zako zikawa na ukweli. Lakini kwenye 4R za Samia kuna mengi yalifanyika japo watu hawataki kuyakumbuka. Wapinzani walipaswa kuanza na kidogo kilichopo mkononi kabla ya kupata makubwa. Maridhiano ni win win situation, na siyo winner takes all

..vyama 17 vya upinzani vilishiriki katika maridhiano, na leo hii vinalalamika kwamba hakuna matokeo.

..Washauri wa Mama wamempotosha kwa utekaji, na upotezaji, una faida kuliko mazungumzo na maridhiano.

..Father Kitima na wenzake walikuwa wamepanga kwenda kuonana na Raisi ili amani idumishwe, lakini wakahujumiwa kwa watu kutumwa kumuua Father Kitima.
 
Kuahirisha uchaguzi kwa pressure ya Tundu pekee siyo busara.

..uchaguzi ungeweza kuahirishwa kwa faida ya Watanzania wote.

..Mama Samia alikuwa anaweza kushinda hata Tume ingekuwa huru, bila kuteka, wala kupoteza, wanaharakati na wakosoaji.

..Mama amekosea kukubali ushauri na kuamua kutafuta ushindi kibabe, kwa kumwaga damu za wapinzani wake.
 
Ni jambo jema.
Ukweli lazima maswala kadhaa yafanyiwe kazi haraka.
Watu kupotea kama kuku halikubaliki duniani na mbinguni.
Kuku wa wapi hao wanopotea ovyo saa 12 kuku kashaingia kulala akishanenepa tuna
 
..Father Kitima na wenzake walikuwa wamepanga kwenda kuonana na Raisi ili amani idumishwe, lakini wakahujumiwa kwa watu kutumwa kumuua Father KiKitima.
Fr Kitima alikuwa amekwenda nje ya mipaka, sidhani kama hoja zake zilikuwa zinawakilisha kanisa
 
Fr Kitima alikuwa amekwenda nje ya mipaka, sidhani kama hoja zake zilikuwa zinawakilisha kanisa

..viongozi wa madhehebu mbalimbali walikutana, na ikaundwa kamati itakayokwenda kuonana na Raisi.

..Father Kitima alikuwa ni mmoja wa waratibu wa kamati hiyo.

..Baada ya maamuzi hayo, na kikao kuisha, ndipo Father Kitima akashambuliwa.

..Na Polisi haijatoa majibu kuhusu nani alimshambulia Father Kitima.
 
Kuahirisha uchaguzi kwa pressure ya Tundu pekee siyo busara.
Usilitaje bure jina la TUNDU ANTIPASI LISU Hawa ni wale wanaitwa rare element.Hawapatikani ovyo.CCM wangekua na akili,wangemchukua awe msimamizi wa mikataba ya kisheria(kimataifa).
 
Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-

1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.

2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.

3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.

4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.

5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.

6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Mkuu umeanza kuogopa
 
Usilitaje bure jina la TUNDU ANTIPASI LISU Hawa ni wale wanaitwa rare element.Hawapatikani ovyo.CCM wangekua na akili,wangemchukua awe msimamizi wa mikataba ya kisheria(kimataifa).
Rare element isiyo na busara ni kazi bure
 
Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-

1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.

2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.

3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.

4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.

5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.

6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Turudi hapa
 
Back
Top Bottom