Wanaitwa waganda kyakaKuna jamaa wako Kyaka nao wanaongea kama waganda
Mapembelo.....!kuna makabila yenye wafanyabiashara wakubwa, faida tu ya siku ni mshahara wa mbunge
Hawa Jamaa ndio sababu Idd Amin alitaka kuwafuta kwenye ramaniWahaya hao
Vavene!Mapembelo.....!
Nimeishi na watu wa makabila mbalimbali lakini makabila ya watu wa kanda ya ziwa kiukweli wana kaushamba fulani hasa kwa hawa wahaya yaani wana ushamba fulani ambao kwa watu waliozoea wanaona ni ulimbukeni fulani umewajaa!Tuweke ukabila pembeni lakini kwa mtazamo wa akili ya kawaida msiba ni sehemu ya kuomboleza, watu wana uchungu kumpoteza marehemu lakini kwenye hio video naona majigambo yametawala zaidi
Hahahaha kabisaHawa Jamaa ndio sababu Idd Amin alitaka kuwafuta kwenye ramani
Jeneza lilipoporomoka kila mtu kala kona hadi mchukua picha...
Kwanini mnakuwaga waongo? Apo ni Uganda Kabale unasikia ata lugha ni kiganda unasemaje ni Muleba? Usilijua kaa kimya. Achaga misifa sifa ya kijinga. Hakuna Muhaya wa akili hizi.jeuri ya pesa
Muleba hapo, kijiji Kahumlo
Apo ni Uganda acheni uzushi.Wahaya hao
duh, punguza hasira, tafuta pesa komrediKwanini mnakuwaga waongo? Apo ni Uganda Kabale unasikia ata lugha ni kiganda unasemaje ni Muleba? Usilijua kaa kimya. Achaga misifa sifa ya kijinga. Hakuna Muhaya wa akili hizi.
Duh!!Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona?
Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa.
Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa, hapo inabidi ushangae tu maana kuna makabila yana wafanyabiashara wakubwa ambao wanaingiza faida maradufu ya huo mshahara kila siku lakini kwenye misiba huwezi kuta hivi vitu.
Msiba ni maomboleza, huzuni, inafaa ichukuliwe hivyo na zaidi ni kuwafariji wahusika wa moja kwa moja, kuleta hizi mbwembwe na kusababisha taharuki kama hii ya kuanguka kwa jeneza ni kuzidi kuleta simanzi kwa wafiwa, kumkosea heshima marehemu, kuongeza gharama za msiba na hata kusababisha vifo vya ziada.
View attachment 2444067