Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
349
Reaction score
805
Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo:
1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji

2. Kuonya, kulaani na kukemea akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu

3. Kutoa amri ya uchunguzi wa haraka kama jambo la dharura.

Hata hivyo badala yake, ameonyesha kutojali sana na kutuasa kwamba ni mambo ya kawaida tu tuzoee.

Hata kama mimi ndo ningekua Mtekaji, kwa hotuba ile ya Amiri jeshi mkuu, ningeendelea kuishi kwa amani kabisa bila hofu ya kukamatwa.

Mungu Tusamehe Watanzania. Hili ni pigo💔💔
 
Usiogope yajayo yanafurahisha!

Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka!

Copy iende Kizimkazi!
 
Back
Top Bottom