Huu sio ushauri, ni SHERIAWazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo
Hata Taasisi kubwa kubwa Management team hawasafiri pamojaHii ni kanuni mhimu ya Royal family ya Uingereza, walioko mstari wa warithi hawapandi ndege moja
Maisha maisha....hayajawahi kueleweka 100%.Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo
Ajali nzito hii mwenyewe unaona 😀chifu nawe una comment humu. Naonaga ma likes tu.
Kanuni Huwa haibadiliki.....ni eidha Yeye aende hiyo likizo na baadhi ya watoto na Si na watoto woote na Sisi Wengine tutasubiri Next likizoUaishi Mtwara, kwenu Bukoba, mmechukua likizo na mnapaswa kusafiri mwezi wa 12, una ki VANGUARD chako cha mkopo, hapo mtafanyaje?
Hahahaaaa......Siku hizi tunalala na mitungi ya gas ndani lolote laweza kutokea kwepa sana kulala na uwapendao nyumba moja kwa kuepuka kufa pamoja.
Kanuni Huwa haibadiliki.....ni eidha Yeye aende hiyo likizo na baadhi ya watoto na Si na watoto woote na Sisi Wengine tutasubiri Next likizo
Wee mm naenda likizo niache kwenda na wanangu kwenye gari yao wakapande bus. Cha msingi ivunje safari kwa km 500 kila sikuusisafiri moja kwa moja tumia siku 2 ama 3 kama ni mbali sana
Kwani mkifa wote kwa pamoja shida iko wapi?
Mimi na wewe tunaishi dunia mbili tofauti, so please be humble..! Na uamini dunia unayoishi wewe.Haya mawazo ya ufukara wa akili. Mawazo ya kuamini miujiza na ushirikina. Hoja ya mkleta mada ipo sahihi lakini umeamua kuleta ushirikina wako bila sababu.
Huko sahihi kabisa. Yani watu tunawindana utadhani wanyama. Cha kuogopesha adui humfaham kwa kuangalia tu machoni.Hili lizingatiwe sana dunia hii haiko fair watu wanawindana kama Simba na swala. Safari yako usiage sana watu wasio wa muhimu INASAIDIA.
Cc Chaliifrancisco chalii wa ara GWAMAKA USWEGE DeeboyfrexhDah nimesoma ulivoandika kwa msisitizo, mpaka maini nimehisi yametetemeka!
Kipi kimekukuta mkuu mpaka umeandika huu wosia? [emoji848]
dogo una shida gani?
Ni mkweli mkuu, sitasahau siku hiyo tumekodi gari binafsi kwa ajili ya kwenda Kula Christmas Kama familia, tulipata ajali mbaya sana... Dada zangu wa wili Walikufa . R.I.P 😭😭😭😭Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.