Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Walikufa wote...mwisho wa kila kilicho hai ni kifoWalipata nini baada ya kuishi muda mrefu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikufa wote...mwisho wa kila kilicho hai ni kifoWalipata nini baada ya kuishi muda mrefu?
Dah, mwenyezi Mungu awarehemu na pole sana kwa wafiwa. Nimejifunza kitu pia, inasikitisha sanaKuna ajali imetokea Bagamoyo. Jamaa meneja ABSA alikuwa ana safiri na dada zake watatu. Wamekufa wote wakielekea msibani Kilimanjaro.
Hili lina ukweliHili lizingatiwe sana dunia hii haiko fair watu wanawindana kama Simba na swala. Safari yako usiage sana watu wasio wa muhimu INASAIDIA.
chifu nawe una comment humu. Naonaga ma likes tu.Hahahaaaa ni mfano tu bru si unajua tena 😆🤣 mungu asaidie tu maana hakuna namna
Ajali ni ajali tu, Kikubwa uwe umempa Yesu maisha yako, ukifa uende mbinguni, duniani tunapita.Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo
wanataka kuishi milele siyo tu wauze bandari, ila mbuga, stigler na fukwe.Kwani mkifa wote kwa pamoja shida iko wapi?
Uaishi Mtwara, kwenu Bukoba, mmechukua likizo na mnapaswa kusafiri mwezi wa 12, una ki VANGUARD chako cha mkopo, hapo mtafanyaje?Kanuni yangu ni kutokutumia chombo kimoja Cha usafiri na mke wangu kipenzi..........hata likitokea watoto wetu wasikose wa kuwasimamia
Japo Naamini kifo hakiepukiki na Siku yako au zenu zikiwa zimefika mtaunganishwa na mauti bila kujali umbali mliopo
Tupe mbinu, huwa unampa mumeo gari , na watoto gari yao na wewe unakuwa na ya kwako?Ni jambo la hatari sana kusafiri pamoja kama familia. Huwa nakwepa sana hili.
Haya maisha pamoja na kwamba hatujuchagua kuzaliwa, bado tuna nafasi kubwa sana ya kuya shape. Yatupasa tuishi kimachale sana, siyo mbaya kujifanya Komando kipensi au machale mengi kama vile Bruce Lee.Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo