Hata kama ni Byuti, ndio mfungwe sekunde ya 30?

Na hao Vipers wapo kwenye lile kundi ambalo Utopolo wanaweza kukutana nao kwenye hatua ya mtoano CAF CL.

Sasa kama hiyo jana jamaa walikuja "kirafiki" lakini wakawanyoosha goli mbili, hiyo siku ikifika wakija "kikazi" itabidi utopolo waende uwanjani na ndoo za kukingia machozi.
 
Wanakuambia eti wachezaji hawakuamka vizuri...ila uto!
 
Bado timu haina muunganiko. Kama mnavyojua Morison amechelewa kuripoti kambini
 

Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Dah magori ya kizembe ila sihami timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…