OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii timu nilidhani ni mbovu na uongozi mbovu pekee, kumbe hata nguvu za kiume nazo ni shida halafu hawasemi? Sijapenda!Hata kama una upungufu wa nguvu za kiume, NDIO umalize sekunde ya 32???
Vipi, zile jezi zenu mpya jana ziliwasaidia chochote kuwaepusha na kipigo toka kwa Vipers?!Ngoja tujivute kwa vunja bei tukachukue jezi za maana.
Waulize utopolo mkuuVipi, zile jezi zenu mpya jana ziliwasaidia chochote kuwaepusha na kipigo toka kwa Vipers?!
Anyway, niliona ndio mlizitumia kufutia machozi.
Mc wa jana alishawahi sema wenye akili wawili tu ni mzee sunday na mzee jk. Halafu BM3 jana akamaliza kabisa kwamba hawajui chochote wamekimbia shule.Sekunde 30 chalii...ila yamebarikiwa kuongea...et yamehamisha magoli sasa iv yanasema tusubir tareh 13
HahahaHii timu nilidhani ni mbovu na uongozi mbovu pekee, kumbe hata nguvu za kiume nazo ni shida halafu hawasemi? Sijapenda!
Mods hawakuachi salamaUtopolo tulieni.View attachment 2316704
Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe wewe unajitambua.Waulize utopolo mkuu