Wanasema ndo uwezo wao halafu wao kubaki Klabu bingwa waswahili wanasema mtoto halali na hela.Kuna mdau kawauliza vigezo vya kucheza kombe la loosers ni vipi
Badala wampe majibu wanazunguuka
Maana kawaambia yeye wakati anaondoka mjini kuelekea vijijini pasipo na mtandao aliiacha timu klabu bingwa ila anarudi ipo Loosers sasa nini kilitokea.
Watoto wa raja wamewapapasa bao 3
Je, hapa ndio kuna timu? Famasiala niniJamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..
Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Mara Ya Mwisho kuingia makundi CAF CL umesema Mwaka gani..? 1998.?
Sawa hapa nani kapapaswa zaidi
Kulinajisi taifa🤣🤣🤣🤣Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..
Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Hapa Kuna watu walikua hawajazaliwaa🤓🤓🤓Je, hapa ndio kuna timu? Famasiala nini
Hawq mbwa on aggregates walipigwa 9:3 tumekaa kimya wanaanza vuzo
Sawa hapa nani kapapaswa zaidi
punguza ujinga, wastani wa 9:3 ni mzuri kuliko wa 6:1Hawq mbwa on aggregates walipigwa 9:3 tumekaa kimya wanaanza vuzo
Nasikia yule CEO wao wa zamani anapiga ndogo ndogo VIPERS irudishwe kwenye mashindano kimagendo halafu robo fainali wapangwe nayo.Fainali ya nyoko.Sasa Simba atafunga timu ipi iliyobakia hapo robo?
Hata sisi mikia tulishakutana na hii dhahamaHawq mbwa on aggregates walipigwa 9:3 tumekaa kimya wanaanza vuzo
Unadhihirisha Utopolo wako. Hesabu unaijua vizuri?punguza ujinga, wastani wa 9:3 ni mzuri kuliko wa 6:1
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wakumbushe mara ya Mwisho walipata kipigo Cha mbwa mwizi Cha 6-0.Jana Dua lao liligeuka la kuku walitamani Msimbazi ivunje rekodi yao Kwa kupigwa 7-0Hivi wale jamaa wa nyuma mwiko wangeweza kweli kucheza usiku ule?
Mzuri vipi na wewe kibunange yaani mechi moja upigwe 6- sufri mechi moja halafu useme ni nzuri kuliko aliepigwa 6 mechi mbilipunguza ujinga, wastani wa 9:3 ni mzuri kuliko wa 6:1
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Unaota wewe zile khamsa bado zimekuganda mkiani kama ule mwiko wenuHata sisi mikia tulishakutana na hii dhahamaView attachment 2573396
Wanaelewa basi hao viazi mbatata hivyo bloangu??........ mkuu sio mbaya sana kwa kucheza ugenini, na hiyo mechi ukizingatia ni kukamilisha ratiba kama ulivyodokeza......hata hao Simba pia waliingia na mentality ya kukwepa kuumia, kwa ajili ya gemu zijazo......by the way hata kama Casablanca wakipumzisha wachezaji lakini bado ni timu bora huwezi fananisha na timu za afrika mashariki.........pia goli tatu kwa moja ni matoleo reasonable kabisa kwenye football, mbona man ualikula saba na tukampongeza........simba wapongezwe coz walikuwa kwenye nafasii mbaya sana ya kutofuzu hiyo hatua inayofuata ya robo.......
Walikung'utwa wakapewa onyo msije huku tena! Toka wakati huo wakiona mlango wa CAFCL wanajinyeaaa
Sawa hapa nani kapapaswa zaidi
Hii taarifa si kweli. Nashangaa hakuna aliyemwambia. Raja walipumzisha baadhi ya wachezaji wao katika mechi na Vipers waliyotoka droo ila kwenye game na Simba waliweka full mkoko.Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..
Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.