Hata kama ni kukamilisha ratiba, ndio mpigwe Goli 3 na kikosi C cha Raja Casablanca?

Hata kama ni kukamilisha ratiba, ndio mpigwe Goli 3 na kikosi C cha Raja Casablanca?

Kuna mdau kawauliza vigezo vya kucheza kombe la loosers ni vipi

Badala wampe majibu wanazunguuka

Maana kawaambia yeye wakati anaondoka mjini kuelekea vijijini pasipo na mtandao aliiacha timu klabu bingwa ila anarudi ipo Loosers sasa nini kilitokea.
Wanasema ndo uwezo wao halafu wao kubaki Klabu bingwa waswahili wanasema mtoto halali na hela.
 
Watoto wa raja wamewapapasa bao 3
img-20220919-wa0052-jpg.2572202

Sawa hapa nani kapapaswa zaidi
 
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..

Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Je, hapa ndio kuna timu? Famasiala nini
img-20220919-wa0052-jpg.2572202
 
img-20220919-wa0052-jpg.2572202

Sawa hapa nani kapapaswa zaidi
Mara Ya Mwisho kuingia makundi CAF CL umesema Mwaka gani..? 1998.?

Duh, Embu Tufanye Mahesanu Kidogo.. 2023 - 1998 = 25

Ndo Kusema Mtani hajawahi Kushiriki makundi CL Ya CAF Kwa Miaka 25...!

Japo Mtani huwa namuombeaga njaa Lkn hii Imeniuma Sana..!

Kumbe Wapo Watu Umri Miaka 25 hawajawahi kuiona Yanga Makundi CL?
 
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..

Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Kulinajisi taifa🤣🤣🤣🤣

Simba 🦁🦁 inawapa homa nyie UTOPOLO FC
 
punguza ujinga, wastani wa 9:3 ni mzuri kuliko wa 6:1

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Unadhihirisha Utopolo wako. Hesabu unaijua vizuri?
9:3 maana yake GD ni 6
6:1 maana yake GD ni 5

Sasa 5 na 6 nani mwenye unafuu? Aliyekung'utwa 6 au aliyefungwa 5?

Au wewe akili yako kila namba kubwa ndiyo ya maana?

Utopolo mfanye mabishano kwa reasoning. Au huo mwiko huko nyuma unawaumiza?
 
Hivi wale jamaa wa nyuma mwiko wangeweza kweli kucheza usiku ule?
Wakumbushe mara ya Mwisho walipata kipigo Cha mbwa mwizi Cha 6-0.Jana Dua lao liligeuka la kuku walitamani Msimbazi ivunje rekodi yao Kwa kupigwa 7-0
 
........  mkuu sio mbaya sana kwa kucheza ugenini, na hiyo mechi ukizingatia ni kukamilisha ratiba kama ulivyodokeza......hata hao Simba pia waliingia na mentality ya kukwepa kuumia, kwa ajili ya gemu zijazo......by the way hata kama Casablanca wakipumzisha wachezaji lakini bado ni timu bora huwezi fananisha na timu za afrika mashariki.........pia goli tatu kwa moja ni matoleo reasonable kabisa kwenye football, mbona man ualikula saba na tukampongeza........simba wapongezwe coz walikuwa kwenye nafasii mbaya sana ya kutofuzu hiyo hatua inayofuata ya robo.......
Wanaelewa basi hao viazi mbatata hivyo bloangu??
 
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..

Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Hii taarifa si kweli. Nashangaa hakuna aliyemwambia. Raja walipumzisha baadhi ya wachezaji wao katika mechi na Vipers waliyotoka droo ila kwenye game na Simba waliweka full mkoko.

Kwa upande mwingine, Mazembe jana hawakuchezesha wachezaji wao kadhaa tegemeo.
 
Back
Top Bottom