........ mkuu sio mbaya sana kwa kucheza ugenini, na hiyo mechi ukizingatia ni kukamilisha ratiba kama ulivyodokeza......hata hao Simba pia waliingia na mentality ya kukwepa kuumia, kwa ajili ya gemu zijazo......by the way hata kama Casablanca wakipumzisha wachezaji lakini bado ni timu bora huwezi fananisha na timu za afrika mashariki.........pia goli tatu kwa moja ni matoleo reasonable kabisa kwenye football, mbona man ualikula saba na tukampongeza........simba wapongezwe coz walikuwa kwenye nafasii mbaya sana ya kutofuzu hiyo hatua inayofuata ya robo.......