Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

Shughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Hiyo shughuli ilikuwa ya soka sio harusi, Yanga wamechemsha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. bongo nyoso sana
 
Kesi ya mpira haiendi mahakama za kiraia, labda iwe rushwa
Ni policy tuu sio sheria, sheria za vyama vya michezo au international organization will never supersede laws of the land, hata kama sio court wanaweza resolve kwa mediation, hakuna court huru inaweza kukataa kesi kwa sababu vyama vya mpira or international organization vimejiwekea utaratibu wa kutokwenda mahakamani
 
Mambo ya YANGA tuachie wenyewe, wewe hutayaelewa.
Kwenye safu ya wageni waalikwa ulimuona Nani na Nani?
Ama unataka tuisambaratishe TFF Kama traffic police?
 
Alisha mshika Yule mvaa khanga. Alitanywa nini? Manara hatatumikia adhabu na hamumfanyi chochote.
 
We yanakuhusu mikia fc
 
Hujui kinachoendelea
 
Mpeni jamaa nakala ya hukumu hayo yote yataisha . Nakala ya hukumu hamtaki kumpa mnahofia atakata rufaa . huku kanuni zenu zinasema adhabu itaanza kuhesabika Mara tu mtuhumiwa anapopewa nakala ya hukumu. Mnajikaanga kwa mafuta yenu.

Kwa akili zako timamu kabisaaa unaamini Manara hajapewa nakala hadi leo?
Na mbona hajihusishi tena isipokua siku ya jana na anautrtezi kwamba ile haikua shughuli za kimichezo bali ni u mc?
 
Kwa akili zako timamu kabisaaa unaamini Manara hajapewa nakala hadi leo?
Na mbona hajihusishi tena isipokua siku ya jana na anautrtezi kwamba ile haikua shughuli za kimichezo bali ni u mc?
Labda Jana alikua MC wa Netball
 
Huo u- mc kafanyia wapi kama sio kwenye soka? Huyo life ban inamuhusu.
We uliona Soka pale!!? wakati Haji anatambulisha...

Unaelewa Soka ni nini kwanza? Morrison wakati anazungumza alikuwa anacheza Soka?

Haji ni Dubwana Kubwa kwa Karia...
 
We uliona Soka pale!!? wakati Haji anatambulisha...

Unaelewa Soka ni nini kwanza? Morrison wakati anazungumza alikuwa anacheza Soka?

Haji ni Dubwana Kubwa kwa Karia...
Dubwana kubwa lilokosa akili,mtu kaenda uwanjani na kutambulisha wachezaji bado unasema huko sio kushiriki shughuli ya soka! Ulitaka aingie uwanjani kucheza!
 
Shughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Professionaliam kama ipo huwezi kuwafuata DRFA wakati unatambulisha wachezaji (ambayo ni shughuli rasmi inayotambulika kitaifa kama ni tamasha la michezo la yanga ) na ndio maana mgeni rasmi alisema "hapa sio sehemu ya kutoa hotuba bali ni sehemu ya kusherekea michezo" au kauli hiyo huelewi inamaanisha nini.

Kwa mujibu wa kauli hiyo, ile haikuwa harusi bali sherehe (shughuli) ya michezo, je, hukumu ya haji alifungiwa asijihusishe na nini?

Plz mi sio muumin wa matusi, kama utajibu jibu hoja yangu usitukane
 
Hayo yote yangeeleweka kama angepatiwa nakala ya hukumu ilikusudi ajue ni eneo gani hasa linamzuia asijihusishe na shughuli za michezo

Nje ya hapo wacha viumane

Lkn pia tff wajue mwenye yanga yake yupo na anawachora tu, wao wenyey Wana makandokando kibao watu wakianza kufukua makaburi wasianze kulialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…