Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Hatari saana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari saana
Hiyo shughuli ilikuwa ya soka sio harusi, Yanga wamechemshaShughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. bongo nyoso sanaBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Ni policy tuu sio sheria, sheria za vyama vya michezo au international organization will never supersede laws of the land, hata kama sio court wanaweza resolve kwa mediation, hakuna court huru inaweza kukataa kesi kwa sababu vyama vya mpira or international organization vimejiwekea utaratibu wa kutokwenda mahakamaniKesi ya mpira haiendi mahakama za kiraia, labda iwe rushwa
Mambo ya YANGA tuachie wenyewe, wewe hutayaelewa.Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Alisha mshika Yule mvaa khanga. Alitanywa nini? Manara hatatumikia adhabu na hamumfanyi chochote.Hapa Yanga wakiadhibiwa na TFF watasema wameonewa. Ki ukweli Yanga ni kubwa zaidi akili na jina la Manara. Kuna haja ya viongozi wa timu kutoingiza timu kwenye migogoro na mamlaka za soka na michezo kwa cheaper reasoning eti, 'mc'
Huu ni ukaidi, ipo siku Manara atamshika 'kalio' hadharani Injinia Hersi au Ghalib Said ndio wataona faida ya adhabu ya TFF.
We yanakuhusu mikia fcBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Hujui kinachoendeleaNdiyomaana nikaandika ni mwendo wa kuvurugana , mwenyewe sielewi!
===
The Tanzania Football Federation (TFF), previously Football Association of Tanzania (FAT), is the governing body of football in Tanzania and oversees the Tanzania national football teams. It was founded in 1930 and is affiliated to FIFA since 1964.
===
Wanasema Wana shughulika na timu za Taifa.
Sasa nimeelewa baada ya kuguugo!! Nimesoma article 12 Membership ya katiba ya TFF.Kweli TFF wameshikiria mpini, Yanga tuna Makali. Manara ni wakuadhibiwa! Ikiwezekana na Yanga iadhibiwe kwa kuleta mchafuzi wa michezo nchini!
Yanga washajua ni wabovu sasa wanatafuta sababu ya kufungiwa ili kukwepa mechi za kimataifa. Washenzi,Sana walevi wajinga kabisa. Manara ni kitu gani nchi hii?Zeruzeru ameonyesha kiwango chake cha dharau kwa TFF
Okay! Kutusaulisha masuala ya mafuta nini?Hujui kinachoendelea
Mpeni jamaa nakala ya hukumu hayo yote yataisha . Nakala ya hukumu hamtaki kumpa mnahofia atakata rufaa . huku kanuni zenu zinasema adhabu itaanza kuhesabika Mara tu mtuhumiwa anapopewa nakala ya hukumu. Mnajikaanga kwa mafuta yenu.
Wakimuomba mkataba wa kuwa mc atautoa au magumashi tu
Kwa hiyo ile jana haikua shughuli ya kimichezo?Kwani shughuli za kimichezo si mpaka zianze ligi ikifunguliwa
Labda Jana alikua MC wa NetballKwa akili zako timamu kabisaaa unaamini Manara hajapewa nakala hadi leo?
Na mbona hajihusishi tena isipokua siku ya jana na anautrtezi kwamba ile haikua shughuli za kimichezo bali ni u mc?
We uliona Soka pale!!? wakati Haji anatambulisha...Huo u- mc kafanyia wapi kama sio kwenye soka? Huyo life ban inamuhusu.
Dubwana kubwa lilokosa akili,mtu kaenda uwanjani na kutambulisha wachezaji bado unasema huko sio kushiriki shughuli ya soka! Ulitaka aingie uwanjani kucheza!We uliona Soka pale!!? wakati Haji anatambulisha...
Unaelewa Soka ni nini kwanza? Morrison wakati anazungumza alikuwa anacheza Soka?
Haji ni Dubwana Kubwa kwa Karia...
Professionaliam kama ipo huwezi kuwafuata DRFA wakati unatambulisha wachezaji (ambayo ni shughuli rasmi inayotambulika kitaifa kama ni tamasha la michezo la yanga ) na ndio maana mgeni rasmi alisema "hapa sio sehemu ya kutoa hotuba bali ni sehemu ya kusherekea michezo" au kauli hiyo huelewi inamaanisha nini.Shughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Hayo yote yangeeleweka kama angepatiwa nakala ya hukumu ilikusudi ajue ni eneo gani hasa linamzuia asijihusishe na shughuli za michezoItambulike, kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira ni mapana sana, huyu Manara anaonekana kweli ni gangster, hajui lolote.
Hapa uwe mpira wa mashindano, bonanza kama hilo la Yanga SC, au mechi nyingine ya kirafiki, hizi zote ni shughuli za mpira ambazo alifungiwa.
Aidha, neno "shughuli" lina tafsiri nyingi na ni pana pia, inaweza kuwa MC wa shughuli za mpira, refa wa mechi, daktari wa timu, nk.
Hayo yote Manara alishafungiwa, inaonekana hata taasisi ya Yanga SC haina wajuvi wa sheria, wanamuacha tu huyo kichaa wao azidi kuwaharibia, wasishindane na mamlaka.