denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Huyo chizi anamuumiza nani dogo!.Unapenda ligi.....Manara anawaumiza sana poleni
Wewe kanywe maji utulie, naona mna mtetea huyo bogus kwa vihoja vya kitoto tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo chizi anamuumiza nani dogo!.Unapenda ligi.....Manara anawaumiza sana poleni
Huo u- mc kafanyia wapi kama sio kwenye soka? Huyo life ban inamuhusu.Kafungiwa kujihusisha na mpira sio uemsi
Haya mambo kisiasa pia yapo . FIFA Wanakataza serikali kuingilia mpira lakini umeona serikali ya uingeleza ilichofanga kwa Chelsea ? Haya niambie nini kimetokea ?Kesi ya mpira haiendi mahakama za kiraia, labda iwe rushwa
Siku zote watu hukodi MC wanayemfahamu na vizuri zaidi kama anawafahamu nyie pia.Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Kwani TFF walipomwambia anaruhusiwa kuingia uwanjani kutizama mpira anakuwa hajajihusisha na mpira?. Hizo conditions walizompa ndo zimepelekea hayo yote . wao wangesema HARUHUSIWI KUJIHUSISHA NA MPIRA KWA NAMNA YOYOTE full stop . lakini kuanza kusema Mara unaruhusiwa kupost hiki. Mara unaruhusiwa kuingia uwanjani ......... Hapo ndo walipojikologaMbona hujibu swali, ule u "MC" wake leo pale uwanjani, haukuwa kwenye shughuli ya mpira?
Hapa usilete huruma ya kipato, suala la kipato kama vipi akauze magodoro ya GSM, ila sio kwenye shughuli ya mpira.
Mimi nadhani Wanachama wa TFF ni vyama vya mpira wa miguu vya Mikoa ndiyo maana tuna shirikisho la soka nchini(TFF). Yaani Yanga anawajibika kwa DRFA kwa mambo madogo kama ya Yanga day lakini suala la Ligi msimamizi ni TFF mwenyewe (Nawaza)Yanga ni mwanachama wa TFF
Ndiyomaana nikaandika ni mwendo wa kuvurugana , mwenyewe sielewi!Unajua ulichokiandika au ? Ina maana TFF haina taarifa ya tukio Hilo.?.elewa pia imelikwa timu ya nchi jirani unadhani wamekuja tu kama wanakuja kumsalimia mjomba wao...unajua criteria za FIFA kwa friendly mechi ...YANGA ni mwanachama wa TFF either anafanya jambo Lililo kwenye kalenda au laa, msimamizi wake ni TFF
Pia yanga iadhibiwe kwa kumtumia mtu aliyefungiwaHuyu ban ya maisha inamuhusu..Ameidharau taasisi nampira wa bongo na ameifanya taasisi km haina meno na haing'ati
Yanga mwenye akili alikua Senzo, wengine wahuni tu. Huyu keshaambiwa hata siku ya Mwananchi ipo under TFF as Yanga ni mwanachama sasa kaamua kudharau. Halafu akiadhibiwa anaanza kuharisha mdomoni...Ni dhahiri Yanga inaendeshwa kihuni Sana .ni Kama wamemwambia wewe kuwa MC hakuna mtu wakukufanya kitu.Lakini watu professional na wenye hekima wangeona hili jambo kwa mapana.
Kwa ivo leo Utopolo wamepigwa kwenye shughuli za kitchen party,harusi ama michezo?Kwani shughuli za kimichezo si mpaka zianze ligi ikifunguliwa
Alishapewa mbna, labda hufuatilii habari.Mpeni jamaa nakala ya hukumu hayo yote yataisha . Nakala ya hukumu hamtaki kumpa mnahofia atakata rufaa . huku kanuni zenu zinasema adhabu itaanza kuhesabika Mara tu mtuhumiwa anapopewa nakala ya hukumu. Mnajikaanga kwa mafuta yenu.
Hawajitambui Wanabishana Na MamlakaUtopolo wana mambo ya kitoto sana. Utakodishaje mtu aliyefungiwa?
Kwani ukisema ni utopolo nan atakubana?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo shabiki wa Yanga lakini hakuna kitu kimenifurahisha kama hiki.
Nchi ya hovyo hovyoNchi ya ajabu ajabu.