Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .

Hili jambo limekaaje jamani ?
Kwahiyo Manara hata kufungua duka la kuuza jezi kwake ni kosa? Tff wachawi sasa
 
Tatizo la Yanga linaanzia kwenye ule mwiko! Sehemu walipouweka si sahihi kabisa, wangeutoa wauweke hata mbele
 
Kuna sheria inayoongoza kuteua mc? Au katika list ya viongozi itokayo caf au fifa kuna nafasi ya mc?
 
Back
Top Bottom