TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Upo salama, Mkuu. Hapa lugha za kuudhi mwiko!Plz mi sio muumin wa matusi, kama utajibu jibu hoja yangu usitukane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo salama, Mkuu. Hapa lugha za kuudhi mwiko!Plz mi sio muumin wa matusi, kama utajibu jibu hoja yangu usitukane
Kwani kabla hajafungiwa alikuwa anafanya kazi ganiKafungiwa kujihusisha na mpira sio uemsi
MC kwenye mambo ya mpiraTFF haina mamlaka ya kumzuia mtu kujitafutia kipato chake. Ameshasema amekuja kama MC, na aliaga kuondoka.
Mmebanduliwa viwiliLeo mtalala na viatu.
Ulipigwa mashine viwili na manzokiBandia hukumu hapa iliyochapishwa!!??
acha fujo ww vitu usivyovijua unatakiwa ukae kimya kama paka anayesubiri kiporo!
Mmetombwa viwili mna ukubwa gani wa mchongoThus why Karia, Rais Mjinga wa TFF kakimbia Leo na kujifanya yuko bize huko A. Town...
Yanga ni Dubwana Kubwa....Ndg. Kinana anajua....
Ww endelea kurudi nyuma!Ulipigwa mashine viwili na manzoki
Watanzania kwa matusi! Mungu akurehemu. Yaani kujificha kwenye fake ID unajiona ni bingwa sana.Mmetombwa viwili mna ukubwa gani wa mchongo
Kwahiyo Manara hata kufungua duka la kuuza jezi kwake ni kosa? Tff wachawi sasaBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna sheria inayoongoza kuteua mc? Au katika list ya viongozi itokayo caf au fifa kuna nafasi ya mc?