Chadema mmechekelea na kufurahi sana kana kwamba mtapata uhai tenaSijui kwa miaka ya nyuma ila katika maisha yangu sijaona chama ambacho kina nguvu kama CHADEMA.
Hawapo kwenye uchaguzi Muhambwe lakini wanaongelewa kwenye huo uchaguzi
Hawapo bungeni lakini wanaongelewa kama wapo
Kima mwingine huyu hapa anaongelea political gain wakati SABAYA anatenguliwa kwenye nafasi yake kwa mujibu wa sheria kupisha uchunguzi.
Why cant you forget about these people?
Kila kukicha nyinyi na chadema hawapo kwenye utawala wenu bado mnawataja mfu jiwe hatajwiHuo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa Chadema ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
Chadema inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya Chadema kupaa kisiasa.
Hio ndio political gain? Sabaya ni wa Chadema? Hai iko chini ya Chadema? Acha kuwashwa wewe. Si ulisema Sabaya ni presidential material? Kumbe ni ka jambazi.Chadema mmechekelea na kufurahi sana kana kwamba mtapata uhai tena
Umeeelewa swali langu? Chadema inapataje Political gain kwa kufukuzwa kwa Sabay? Tena kwa dhambi zake? Tulia mshonoUmeielewa mada husika?
Yule ni comedian hana madhara sanaMama samia bado yule mwenye mashavu makubwa na upaa kule mbeya
Pumbafusana wewHuo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa Chadema ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
Chadema inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya Chadema kupaa kisiasa.
Nenda kafanye ujambazi wako rasm nyambafu!!!Umevimba linwili kwa ujambazi wa kupora watu mali zao,wew ni jambaziChadema mmechekelea na kufurahi sana kana kwamba mtapata uhai tena
Siasa ni kitu minor Sana linapokuja swala la utu, Yani ufanye mauaji,na unyama wa kila aina kisa tu unajificha kwenye kichaka Cha siasa, au eti hu mtetezi wa chama ,ni umaskin wa fikra ,siasa ni akili ni science sio manguvu na hakuna science ya siasa inayosema tesa watu ndo utakubalika ,Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa Chadema ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
Chadema inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya Chadema kupaa kisiasa.
Wapo mtandaoni, kama mnataka msisemwe basi jifuteni humu jf.Kila kukicha nyinyi na chadema hawapo kwenye utawala wenu bado mnawataja mfu jiwe hatajwi