Hata kama Sabaya akifutwa kazi hamuwezi kupata 'Politcal Gain'

Kelele zipi kwa mfano? Kelele zikoje? Si mlisema Chadema hawana jema? Tuna kazi ya kukosoa tu?? Sasa tumeanza kupongeza mnaziita pongezi zetu Kelele? Mbona hamueleweki
Sabaya anakusanya mavuno ya alichopanda shambani kwake, kumbe kushangilia nae pia ni kosa kwa wenzetu.
 
Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.

CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.

Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?

Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?

Kuondoka Sabaya sio suluhu ya CHADEMA kupaa kisiasa.
Upumbavu wako ndiyo mtaji wako, hata kulinganisha vitu na hoja huwezi umebaki kuabudu maiti!
 
Hamtoacha kuweweseka
Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.

CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.

Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?

Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?

Kuondoka Sabaya sio suluhu ya CHADEMA kupaa kisiasa.
 
Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.

CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.

Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?

Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?

Kuondoka Sabaya sio suluhu ya CHADEMA kupaa kisiasa.
Kashifa gani ya ufisadi? Pumbavu
 
Mkuu nilishakuambia kuwa ili uwe na amani ni bora ukafa! Yani utaishi maisha mapya kwa amani bila bughudha yoyote!
 
Mama Samia anajua kiwachota akili Sukuma gang ni aliposema mimi na Magufuli ni kitu kimoja .Sabaya akaenda mawingu akidhani kweli mama anamaanisha kweli kumbe analake Moroni.Usicheze na mwanamke wewe waulize baba zenu watakwambia Samia good wanaume wasikuelewe hata kidogo.
 
Chadema mmechekelea na kufurahi sana kana kwamba mtapata uhai tena
Mkuu nakushauri badala ya kuteseka na CHADEMA ambao hawahusiki na utenguzi wa Sabaya, ni vyema ukafungua uzi kumshambulia mtenguaji, kama busara zitakutuma huko lakini
 
Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.

CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.

Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?

Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?

Kuondoka Sabaya sio suluhu ya CHADEMA kupaa kisiasa.
Wewe zoba kila kitu unaweka siasa,ishu ya Sabaya ni jinai hayo ya political gain ni akili zako kiduchu ndiyo zinawaza hayo
 
Back
Top Bottom