LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,925
Hakuna anae tafuta political gain.Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya CHADEMA kupaa kisiasa.
Bali wapo wanao taka justice.
Sabaya hakuwa kiongozi bali alikuwa jambazi, muuaji. Hakuwa na ethic yoyote yakuongoza hata mbuzi.