Hata kama Sabaya akifutwa kazi hamuwezi kupata 'Politcal Gain'

Kaeni kwa kutulia bwana wenu ananyolewa kwa kutumia chupa dadeki zenu
 
Mumeo kanunua Kadi ya Platinum, kwa Mahaba yake kwa Chadema. Akirudi leo muombe akuonyeshe

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Pathetic. CDM imekukaje tena?
Serikali ya CCM ndiyo inamshughulikia Sabaya, sasa nashangaa kuihusisha CDM. Hii CDM is here to stay brother. Be patient.
 
Msahau huyu mtu basi, au unakula kwake?
 
Lakin yote hamwezi kuamua chochote kiushindani dhidi ya chadema bila ya nguvu za ziada kama policcm,tiss n.k. hebu nieleze ili tujue na tuamini nikipi mlichoshindana na chadema bila ya hawo niliowataja?

Kilichokufa hakina uhai jee mko tayari kushindana bila ya nguvu za ziada, mko tayari kufanya huo ushindani kwa uhuru WA sheria kama zinavyosema?
 
Mwisho wa Sabaya ndio huo mzee penda usipende. Kama ulikuwa unaishi kwa nguvu ya Sabaya nakupa pole sana maana hatakaa awe hata mwenyekiti wa kitongoji kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani
 
Vp alitaka umpe nyapu bureeee??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umepagawa Chadema wanahusika vipi hebu Azima hata Akili za Kichaa zinaweza kukusaidia
 
Vijana wa CCM huwa hawawezi kuunganisha mawazo.
Hivi CHADEMA hapa inahusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…