Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Ndugu yangu nilikua jela haya kafanyaje huyo ponjoroKazingua sana
Hakuna popote penye hii taarifa ya yeye kukamatwa au story kuwa ya uongoAlikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Ndugu yangu nilikua jela haya kafanyaje huyo ponjoro
Sasa bibie kule kwenye taarifa za walioabiri ndege jina lake si lipo au mimi ndio sitaki kuelewaHuenda alikuwa kwenye jengo, maana alitokezea dakika chache, kukatokea mlipuko. Ila nilikuwa nacheka, alipokuwa anafokeana na wahindi wenzake, waliokuwa wanamuhoji. Nikajua hapa kimeumana tu.
Siku naona ile video akitoka eneo la tukio nikajua huyu muongoAlikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Duh, ndege zina manifest, manifest inaonyesha kiti chako. Alijuaje kwamba aliyekaa seat 11A alikuwa anaitwa jina hilo?Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Kuna watu wa sehemu mbili. Wanaoamini alikuwepo kwenye ndege na ambao hawaamini. Mimi nimejibu kwa mujibu wa mtoa uzi ndiyo maana nikaanza huenda. Sasa uliona jina lake kwenye list? Mimi niko 50/50.Sasa bibie kule kwenye taarifa za walioabiri ndege jina lake si lipo au mimi ndio sitaki kuelewa
Hata wife wangu anakuonea sana wivu akiona nasoma uzi wako akifikiri kuwa nitamwacha na kukujia.Mke wangu amesoma hii text yako amepatwa na wivu sana anataka akutafute akidhani na wewe utakuwa huku Canada. Nimemwambia sivyo upo JF na upo Tanzania. Alinifikiria vibaya bure tu mama watoto wangu.
Sio tu JFJf mtu anaweza kuokota vijihabari huko uchochoroni akaja kupost bila kuthibitisha