Hata kama sikusomea upelelezi nilijua huyu jamaa mwongo

Hata kama sikusomea upelelezi nilijua huyu jamaa mwongo

Majuha ni wengi sana aisee.

Hakuna chombo chochote cha habari kinachoaminika ambacho kimerusha hii fake news yenu.

Mnatia aibu.
Nimejaribu kufiatilia angle zote, jamaa ni survivor, Sasa wanaozusha sijui walitaka afe.
 
Kuna watu wa sehemu mbili. Wanaoamini alikuwepo kwenye ndege na ambao hawaamini. Mimi nimejibu kwa mujibu wa mtoa uzi ndiyo maana nikaamza huenda. Sasa uliona jina lake kwenye list? Mimi niko 50/50.
Air India wame confirm jamaa alikua kwenye ndege, usafiri wa ndege ni complicated Sana huwezi tu kujisemea ulikua ume board ndege kumbe haupo, hata kama ulikata ticket
 
Nimejaribu kufiatilia angle zote, jamaa ni survivor, Sasa wanaozusha sijui walitaka afe.
Ingekuwa anadanganya ilikuwa rahisi sana kumkamata.

Naamini hiyo airport alipopandia hiyo ndege ina kamera. Ni kiasi cha kurewind mkanda tu na kuona kama alipita getini.
 
Back
Top Bottom