Hata kama sikusomea upelelezi nilijua huyu jamaa mwongo

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
380
Reaction score
534
Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!

Your browser is not able to display this video.
 
Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Hakuna popote penye hii taarifa ya yeye kukamatwa au story kuwa ya uongo
 
Huenda alikuwa kwenye jengo, maana alitokezea dakika chache, kukatokea mlipuko. Ila nilikuwa nacheka, alipokuwa anafokeana na wahindi wenzake, waliokuwa wanamuhoji. Nikajua hapa kimeumana tu.
Sasa bibie kule kwenye taarifa za walioabiri ndege jina lake si lipo au mimi ndio sitaki kuelewa
 
Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Siku naona ile video akitoka eneo la tukio nikajua huyu muongo
 
Sasa bibie kule kwenye taarifa za walioabiri ndege jina lake si lipo au mimi ndio sitaki kuelewa
Kuna watu wa sehemu mbili. Wanaoamini alikuwepo kwenye ndege na ambao hawaamini. Mimi nimejibu kwa mujibu wa mtoa uzi ndiyo maana nikaanza huenda. Sasa uliona jina lake kwenye list? Mimi niko 50/50.
 
Mke wangu amesoma hii text yako amepatwa na wivu sana anataka akutafute akidhani na wewe utakuwa huku Canada. Nimemwambia sivyo upo JF na upo Tanzania. Alinifikiria vibaya bure tu mama watoto wangu.
Hata wife wangu anakuonea sana wivu akiona nasoma uzi wako akifikiri kuwa nitamwacha na kukujia.

Ila wife wangu sometimes!
 
Jf mtu anaweza kuokota vijihabari huko uchochoroni akaja kupost bila kuthibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…