Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,558
Hadi wazazi wako ni π©π©π€£Sio tu JF
ni mitanzania yote ni mipumbavu akili zimejaa mavi, wakiona kitu kipo kwenye internet wanaamini cha kweli
Nimejaribu kufiatilia angle zote, jamaa ni survivor, Sasa wanaozusha sijui walitaka afe.Majuha ni wengi sana aisee.
Hakuna chombo chochote cha habari kinachoaminika ambacho kimerusha hii fake news yenu.
Mnatia aibu.
He is survivor.Jf mtu anaweza kuokota vijihabari huko uchochoroni akaja kupost bila kuthibitisha
Air India wame confirm jamaa alikua kwenye ndege, usafiri wa ndege ni complicated Sana huwezi tu kujisemea ulikua ume board ndege kumbe haupo, hata kama ulikata ticketKuna watu wa sehemu mbili. Wanaoamini alikuwepo kwenye ndege na ambao hawaamini. Mimi nimejibu kwa mujibu wa mtoa uzi ndiyo maana nikaamza huenda. Sasa uliona jina lake kwenye list? Mimi niko 50/50.
Ingekuwa anadanganya ilikuwa rahisi sana kumkamata.Nimejaribu kufiatilia angle zote, jamaa ni survivor, Sasa wanaozusha sijui walitaka afe.
kmmbako ***** unawashwaHadi wazazi wako ni π©π©π€£