#COVID19 Hata kama tunawachukia, tukubali kuwa Rwanda wametuzidi Kimkakati na kwa Fikra za Kimaendeleo

Hii ni sababu ya kizembe kabisa. Kama sababu ni ukubwa basi Tanzania ingekuwa managed vizuri kuliko Russia, Australia, China au Tuseme Kazakhstan. Basi tungeona Burundi imejipanga vizuri kama kama Rwanda.
 
Gentamycin yupo sehemu salama nini, ndio mada zake hizi
 
Kuna mengi ya kujifunza kutoka Rwanda hasa kwenye nidhamu ya watumishi wa umma na maendeleo.
Ukimpa PK hii Tanzania kuna watu watapiga kelele kuomba msaada kwa Armstadam na haki za binadamu,Rwanda ilipofika sasa ni kwasababu Kagame acheki na nyani,wakati unaandaa kongamano la katiba mpya na yeye anakundalia makazi ya milele.Rwanda ukila rushwa alafu ukabainika nusu utakua hai nusu umekufa.
 
Kumbe mnaleta chuki au kutafuta kiki
 
Mapambano ya ka mkoa kamoja unataka yawe sawa naya nchi kubwa ..amia uko.
China ni nchi ndogo kama Rwanda? Mbona pamoja na ukubwa wake wa Kijiografia na Idadi kubwa ya Watu bado imeweza tu kupiga hatua zaidi ya Kiuchumi na Kimaendeleo? You're very Foolish...!!!
 
Israel ni Nchi ndogo ukiifananisha na Majirani zake lakini iko mbe kwa kila kitu Waswahili walisema ukubwa wa pua...
Heko Mkuu na kupitia Uzi huu naanza kujua ni kwanini Elimu ya Tanzania inadharaulika mno nje ya nchi na hasa hasa Mataifa ya Jirani nasi.
 
Hii huwa ni dead excuse kabisa! Mtu kwako, kuna nchi ngapi kubwa zimeendelea sana na ziko manageable vizuri? Kuna nchi ngapi ndogo sana ila hazitawaliki maskini wa kutupwa na unmanageable

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mno mnavyowajibu Logically na Intellectually hawa Fools wenye Mentality za Kihayawani kama huyo.
 
Ni vizuri tukajifunza kutoka kwao, kwanza Watumishi wao wa Umma wana nidhamu sio wapigaji wa Mabilioni kama hawa wa kwetu.

Halafu hawana matamko ya Ovyo ovyo kama hawa wabahatishaji wa kwetu.
Watumishi wao nao hawajalipandishiwa madaraja miaka 6 kama hawa wetu?
 
Hii ni sababu ya kizembe kabisa. Kama sababu ni ukubwa basi Tanzania ingekuwa managed vizuri kuliko Russia, Australia, China au Tuseme Kazakhstan. Basi tungeona Burundi imejipanga vizuri kama kama Rwanda.
Thanks a lot for Educating that Moron!!!
 
Sasa mtu kama mwigulu anakua waziri unategemea nini?

Sisi tuko busy kuhakikisha wapinzani wanapotea pamoja na kubambikiana kesi!!
 
Yap unakuwa simple kuwatawala pia rais mmoja amekaa mda mrefu ana set mipango nakuoteeleza huku akianzisha huyu anayekuja anakiondoa.
What a poor thinking from a Tanzania called himself a Great Thinker.

Absolutely nonsense..!!!
 
China nako ni kanchi kadogo sio? Vipi Australia, USA na Urusi? Nazo ni nchi ndogo? Haya kwa akili yako ndogo utasema hao ni wazungu je vipi nigeria?
Heko Ndugu na leo kupitia huu Uzi wangu nimegundua kumbe Tanzania bado kuna Wapumbavu wengi japo siyo Wote.
 
Rwanda haina wapinzani wenye fujo. Kagame ni one man show. Ukileta kiherehere unakipata unachokitafuta.

JPM angekubaliana na chanjo kila mtu angeipata fasta.(marufuku ya mifuko ya plastic ilipita na kutekelezwa fasta)Hii ndio maana halisi ya kiongozi

#ikikuumamezawembe
#Povuruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…