Hata kama Tusiruhusu Wapite wabunge wa ndio Tuu!

Hata kama Tusiruhusu Wapite wabunge wa ndio Tuu!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
15,331
Reaction score
22,307
Habari Wana JF,Nimekuwa na Akili ya kujitambua tangu nikiwa na miaka15 hasa yanayohusu nchi na Wananchi. Mwaka 1985 Kulikuwa na chama kimoja tuu kwenye uchaguzi,Nakumbuka wabunge walikuwa wanaombea wawili kwenye chama kimoja!

Mmoja alitumia Alama ya Jembe, mwingine Alama ya nyundo,Na kumwaga sera za chama hicho kimoja.Lakini wabunge walikuwa wazalendo sana kwa Wananchi wao wakisha chaguliwa!.

Mfano mzuri wa hao Wabunge kwa mwaka huo ninaowakumbuka alikuwepo Ayoub Kimbau,Tuntemeke Sanga nk.

1990 _95, Walikuwapo Njeru Kasaka, Philip Marmo, Ayubu Kimbau nk
Na wabunge wengine walifuata miaka hiyo 1996_2015, Bunge mtu tulikuwa tunasimama kusikiliza Bunge kweli kweli!Naanza na wapinzani F. Mbowe, T. Lissu, Kafulila, J Nasari, Zitto Kabwe, Halina Mdee, Kaboyoka, David Silinde, Peter Msigwa, John Heche nk kwa Chama Tawala O.Sendeka, Anna Mkilango Malecela, Said Mtanda, Nk Bunge lilikuwa moto kweli kweli! Bila kumsahamu muheshimiwa sana Dr Mwakyembe, Speaker S. Sitta.

Hili la Sasa kwa kweli limepoooza sana ,kazi Yao ni kusifu tuu hakuna kuhoji .

Tukirudisha Tena watu kama Hawa, Tujiandae kutumia sana bila kujali Vyama .

Mwenzetu Lukas Mwashambwa anabubujikwa na machozi ya furaha,sisi tutabubujikwa na Machozi ya huzuni kwa miaka 5.

Tujitafakari na tuchukue maamuzi, Nchi ni Yetu lazima hiyo kutiki tutiki kwa watu Makini .
 
Habari Wana JF,Nimekuwa na Akili ya kujitambua tangu nikiwa na miaka15 hasa yanayohusu nchi na Wananchi.Mwaka 1985 Kulikuwa na chama kimoja tuu kwenye uchaguzi,Nakumbuka wabunge walikuwa wanaombea wawili kwenye chama kimoja! Mmoja alitumia Alama ya Jembe, mwingine Alama ya nyundo,Na kumwaga sera za chama hicho kimoja.Lakini wabunge walikuwa wazalendo sana kwa Wananchi wao wakisha chaguliwa!.Mfano mzuri wa hao Wabunge kwa mwaka huo ninaowakumbuka alikuwepo Ayoub Kimbau,Tuntemeke Sanga nk.
1990 _95, Walikuwapo Njeru Kasaka,Philip Marmo,Ayubu Kimbau,nk
Na wabunge wengine walifuata miaka hiyo 1996_2015, Bunge mtu tulikuwa tunasimama kusikiliza Bunge kweli kweli!Naanza na wapinzani F.Mbowe,T.Lissu, Kafulila,J Nasari, Zitto Kabwe,Halina Mdee,Kaboyoka, David Silinde,Peter Msigwa,John Heche nk kwa Chama Tawala O.Sendeka,Anna Mkilango Malecela,Said Mtanda,Nk Bunge lilikuwa moto kweli kweli!Bila kumsahamu muheshimiwa sana Dr Mwakyembe, Speaker S.Sitta.
Hili la Sasa kwa kweli limepoooza sana ,kazi Yao ni kusifu tuu hakuna kuhoji .
Tukirudisha Tena watu kama Hawa,Tujiandae kutumia sana bila kujali Vyama .
Mwenzetu Lukas Mwashambwa anabubujikwa na machozi ya furaha,sisi tutabubujikwa na Machozi ya huzuni kwa miaka5!
Tujitafakari na tuchukue maamuzi,Nchi ni Yetu lazima hiyo kutiki tutiki kwa watu Makini .
Dawa siyo kukimbia uchaguzi.CCM itaondoka kwa njia ya uchaguzi hakuna kukata tamaa
 
Kwa ufupi wabunge wa Sasa wamekosa Uzalendo kwa Wananchi wao,Bora Hawa kama pr Muhongo Huwa ananyamaza tuu,ila anakuwa na Hoja za maana.Wengine ni kusifia na mengine ya uongo kabisa,Hata anayesifiwa anashangaa! Mbunge anasimama kwa ajili ya taarifa ya kutushawishi mwenzake,eti anatupigania,huku ni kutufanya hatuna Akili Tena Kwa wao hawajui wajibu wao.
 
Hamna wabunge pale, wabunge wakweli ni wa kuhesabu na ndio hao wanapigwa vita
Tupaze sauti maana Mbunge anasimama anaongea pumba mwanzo, mwisho anakuja mwingine, anaomba mwongozo!Unadhani ana la Maana kumbe ni kumpigia debe mwenzake!Yaani wanapoteza muda na suti zao kuongea ujinga kabisa!Pr Assad aliwahi sema Bunge ni dhaifu! Ndugai akakasirika sana.Wakamnyofoa CAG wa watu Bunge hili kama ndio linapokuja mwaka huu!,Ni Hatari sana Hao wa kutiki waangalie wa kuchangia hata kama upo CCM,kwa dizaini hii CCM inajichimbia kaburi.Hata Bibi yangu marehemu hakwenda Shule Leo afufuke aone Bunge hili angeomba arudi kaburini!
 
Back
Top Bottom