Tupaze sauti maana Mbunge anasimama anaongea pumba mwanzo, mwisho anakuja mwingine, anaomba mwongozo!Unadhani ana la Maana kumbe ni kumpigia debe mwenzake!Yaani wanapoteza muda na suti zao kuongea ujinga kabisa!Pr Assad aliwahi sema Bunge ni dhaifu! Ndugai akakasirika sana.Wakamnyofoa CAG wa watu Bunge hili kama ndio linapokuja mwaka huu!,Ni Hatari sana Hao wa kutiki waangalie wa kuchangia hata kama upo CCM,kwa dizaini hii CCM inajichimbia kaburi.Hata Bibi yangu marehemu hakwenda Shule Leo afufuke aone Bunge hili angeomba arudi kaburini!