Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Dawa siyo kukimbia uchaguzi.CCM itaondoka kwa njia ya uchaguzi hakuna kukata tamaaHabari Wana JF,Nimekuwa na Akili ya kujitambua tangu nikiwa na miaka15 hasa yanayohusu nchi na Wananchi.Mwaka 1985 Kulikuwa na chama kimoja tuu kwenye uchaguzi,Nakumbuka wabunge walikuwa wanaombea wawili kwenye chama kimoja! Mmoja alitumia Alama ya Jembe, mwingine Alama ya nyundo,Na kumwaga sera za chama hicho kimoja.Lakini wabunge walikuwa wazalendo sana kwa Wananchi wao wakisha chaguliwa!.Mfano mzuri wa hao Wabunge kwa mwaka huo ninaowakumbuka alikuwepo Ayoub Kimbau,Tuntemeke Sanga nk.
1990 _95, Walikuwapo Njeru Kasaka,Philip Marmo,Ayubu Kimbau,nk
Na wabunge wengine walifuata miaka hiyo 1996_2015, Bunge mtu tulikuwa tunasimama kusikiliza Bunge kweli kweli!Naanza na wapinzani F.Mbowe,T.Lissu, Kafulila,J Nasari, Zitto Kabwe,Halina Mdee,Kaboyoka, David Silinde,Peter Msigwa,John Heche nk kwa Chama Tawala O.Sendeka,Anna Mkilango Malecela,Said Mtanda,Nk Bunge lilikuwa moto kweli kweli!Bila kumsahamu muheshimiwa sana Dr Mwakyembe, Speaker S.Sitta.
Hili la Sasa kwa kweli limepoooza sana ,kazi Yao ni kusifu tuu hakuna kuhoji .
Tukirudisha Tena watu kama Hawa,Tujiandae kutumia sana bila kujali Vyama .
Mwenzetu Lukas Mwashambwa anabubujikwa na machozi ya furaha,sisi tutabubujikwa na Machozi ya huzuni kwa miaka5!
Tujitafakari na tuchukue maamuzi,Nchi ni Yetu lazima hiyo kutiki tutiki kwa watu Makini .
Sana mkuuKura yangu ina thamani sana
Yaani wabunge ni kusifu tuu,muda wote!Sawa sawa
Inatia Aibu wabunge kila siku ni kusifu na kusifia familia zao simu kazi yake Nini si wawapigie wanaowasifia!Dawa siyo kukimbia uchaguzi.CCM itaondoka kwa njia ya uchaguzi hakuna kukata tamaa
Sio Nyerere tuu mkuu watekelezaji,walitakiwa wajiongeze!Ila Nyerere ametuingiza chaka yaani anakubali vyama vingi !!Ila katiba hakutaka 🚮🚮🚮
Ni bora ukabaki nayo ndani kuliko kwenda kuitupa kwenye sanduku la kuraKura yangu ina thamani sana
Ndio watapita wa ndio na makofi!Ni bora ukabaki nayo ndani kuliko kwenda kuitupa kwenye sanduku la kura
Itakuwa vyema sio tunakuwa na Bunge Halina hata msisimko!Hoja hakuna ni ndio tuu!Yule mama kija wa mi 5 tena asije kufanya km ya yule kipara ngoto wa burigi mbona tutapata wabunge wengi smart tu
Hakuna zombie wa kwenda kupanga mstari kwenye uchaguzi ambao mshindi anapatikana nje ya box la kura.Dawa siyo kukimbia uchaguzi.CCM itaondoka kwa njia ya uchaguzi hakuna kukata tamaa
Hamna wabunge pale, wabunge wakweli ni wa kuhesabu na ndio hao wanapigwa vitaInatia Aibu wabunge kila siku ni kusifu na kusifia familia zao simu kazi yake Nini si wawapigie wanaowasifia!
Tupaze sauti maana Mbunge anasimama anaongea pumba mwanzo, mwisho anakuja mwingine, anaomba mwongozo!Unadhani ana la Maana kumbe ni kumpigia debe mwenzake!Yaani wanapoteza muda na suti zao kuongea ujinga kabisa!Pr Assad aliwahi sema Bunge ni dhaifu! Ndugai akakasirika sana.Wakamnyofoa CAG wa watu Bunge hili kama ndio linapokuja mwaka huu!,Ni Hatari sana Hao wa kutiki waangalie wa kuchangia hata kama upo CCM,kwa dizaini hii CCM inajichimbia kaburi.Hata Bibi yangu marehemu hakwenda Shule Leo afufuke aone Bunge hili angeomba arudi kaburini!Hamna wabunge pale, wabunge wakweli ni wa kuhesabu na ndio hao wanapigwa vita
Kampuni hazijaanza huko Bungeni wanapigiana debe!Hakuna zombie wa kwenda kupanga mstari kwenye uchaguzi ambao mshindi anapatikana nje ya box la kura.
Kampeni zipo Bungeni na uchaguzi Bado!Kampuni hazijaanza huko Bungeni wanapigiana debe!